Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
and jesus said, somebody hath touched me: for i perceive that virtue is gone out of me.
lakini yesu akasema, "kuna mtu aliyenigusa, maana nimehisi nguvu imenitoka."
and let there be among you a community calling to virtue, and advocating righteousness, and deterring from evil.
na uwe kutokana na nyinyi umma unao lingania kheri na unao amrisha mema na unakataza maovu.
in fact, the hearts of the unbelievers are in the dark because of their ignorance of real virtue; they act against it.
lakini nyoyo zao zimeghafilika na hayo, na wanavyo vitendo vinginevyo wanavyo vifanya.
and by virtue of which he causes crops and olives and date-palms and grapes and all kinds of fruit to grow for you.
kwa hayo yeye anaizalisha kwa ajili yenu mimea, na mizaituni, na mitende, na mizabibu, na kila namna ya matunda.
and do not allow your oaths in god's name to hinder you from virtue, and righteousness, and making peace between people.
wala msifanye jina la mwenyezi mungu katika viapo vyenu kuwa ni kisingizio cha kuacha kufanya wema na kuchamngu na kupatanisha baina ya watu.