Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.
Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
más de los mercados de gaza, donde el ánimo parece ser excelente:
kutoka katika maduka ya gaza, mahali ambapo hamasa inaonekana kuwa ya juu kabisa:
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
pues lo que había sido glorioso no es glorioso en comparación con esta excelente gloria
sasa utukufu mkuu zaidi umechukua nafasi ya ule utukufu uliokuja hapo awali, ambao fahari yake imekwisha toweka.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
con todo, anhelad los mejores dones. y ahora os mostraré un camino todavía más excelente
muwe basi, na tamaa ya kupata vipaji muhimu zaidi. nami sasa nitawaonyesheni njia bora zaidi kuliko hizi zote.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
a continuación pueden ver un ejemplo de un excelente concierto del cantante turcomano, kakysh en una boda:
hapa chini ni mfano wa uimbaji wa kwenye harusi kwa kumtumia mwimbaji maarufu wa nchi hiyo kakysh:
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
el blog también destaca el excelente ensayo fotográfico del fotobloguero m.s. gopal sobre el tema en mumbai paused .
blogu hiyo pia inaonyesha picha nzuri inayojieleza ya mwanablogu wa picha m.s. gopal juu ya maudhui hayo kwenye mumbai yasimamishwa.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
solomonsydelle de nigerian curiosity dio un excelente análisis de la situación a medida que se desarrollaba (ver acá su cobertura).
solomonsydelle wa nigeria curiosity alitoa uchambuzi mzuri sana wa hali ya mambo kama ilivyojionyesha (angalia hapa kwa alichokiandika).
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
el ex ministro de inversión, industria y comercio de malí, amadou abdoulaye diallo, señaló que África es un excelente ejemplo de la paradoja.
waziri wa zamani wa viwanda uwekezaji, na biashara wa mali, amadou diallo abdoulaye, alisema kuwa afrika ni mfano mzuri wa fumbo.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
bien por ellos y por los convenios colectivos que les garantizan jornadas de ocho horas, fines de semana libres, unas prolongadas vacaciones y una excelente cobertura sanitaria.
ndio, ni sawa kwao kwa makubaliano yao ya pamoja yanayowapa masaa manane kwa siku, bila kujumuisha wikiendi, siku za mapumziko na manufaa bora ya kiafya.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
david tiene otro excelente post sobre por qué el alcance, la defensa y la traducción son necesarias para ayudar a las personas a superar los obstáculos de hablar, ser escuchado y escuchar a otros.
david anayo makala nyingine nzuri sana inayohusu kwa nini shughuli za kivuko, utetezi na ufasiri ni muhimukatika kuwasaidia watu kuvishinda vikwazo vya kuongea, kisikilizwa, na kuwasikiliza wengine.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
pero el período inmediatamente después de las elecciones ofreció una excelente oportunidad al nuevo gobierno para unificar el país tras una visión clara y (con el apoyo de la onu) para respaldar firmemente el estado de derecho.
lakini kipindi kilichofuata baada ya uchaguzi mkuu kilitoa mwanya wa fursa kwa serikali mpya kuunganisha nchi kwa visheni au malengo makuu yaliyo wazi (kwa msaada wa umoja wa mataifa) vikiungwa mkono na mkondo wa sheria.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
a aquéllos a quienes se dijo: «la gente se ha agrupado contra vosotros, ¡tenedles miedo!», esto les aumentó la fe y dijeron: «alá nos basta! ¡es un protector excelente!»
walio ambiwa na watu: kuna watu wamekukusanyikieni, waogopeni! hayo yakawazidishia imani, wakasema: mwenyezi mungu anatutosha, naye ni mbora wa kutegemewa.
Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :