Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
la búsqueda del desparecido avión malasio mh370 se ha estado realizando en el océano al oeste de perth.
zoezi la kutafuta ndege hiyo ya shirika la ndege la malaysia yenye namba mh370 limekuwa likiendelea kwenye bahari ya hindi kuelekea magharibi mwa perth.
nuestra historia nacional es la del pueblo que vive entre el golfo y el océano , no solamente la historia del régimen.
historia ya taifa letu ni kwamba watu wanaoishi kati ya ghuba na bahari na sio historia ya tawala mbalimbali tu.
los até todos juntos para que no fueran arrastrados por el mar, porque ya saben que, cuando los cuerpos se sumergen en las aguas del océano, se descomponen.
niliwafunga wote pamoja ili wasibebwe na maji ya bahari, lakini unajua wakati miili imezama katika maji ya bahari, humomonyoka.
si él piensa que cualquier extranjero del otro lado del océano vendrá a llenar el país con dinero, cuando parece que el malestar está a la orden del día aquí, está listo para un despertar muy desagradable.
kama anafikiri kuwa wageni kutoka ng’ambo watakuja hapa na kuijanza nchi hii wakati inaonekana kana kwamba machafuko ndio jambo la kawaida hapa, basi yumo njiani kuamshwa kwa jambo baya.
gota a gota, la intersección de shahbag en la ciudad capital de bangladesh, dacca, se ha convertido en un océano de gente que pide justicia por las atrocidades cometidas durante la guerra de liberación del país de 1971 y pena de muerte para los criminales de guerra.
kidogo kidogo, makutano ya shahbag katika mji mkuu wa bangladesh, dhaka umefurika watu wenye lengo la kutaka haki sawa kufuatia ukatili uliofanywa mwaka 1971 wakati wa harakati za vita vya kudai uhuru pamoja na hukumu ya kifo kwa wahalifu wa vita.
oceano
bahari ya bluu
Dernière mise à jour : 2020-06-13
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence: