Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
rispetto la loro proposta di aiuto umanitario.
ninaheshimu ukarimu wao wa kutoa misaada ya kibinadamu.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
la giornalista iryna slavinska critica la proposta:
mwandishi wa habari, iryna slavinska aliukosoa mswada huu :
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
l'utente vitaliy diachenko schernisce la proposta:
mtumiaji mwingine, vitaliy diachenko aliudhihaki mswada huu:
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
ucraina: reazioni online alla proposta di legge per vietare l'aborto
wabunge wa ukraine wataka utoaji mimba upigwe marufuku kisheria
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
la proposta si è dimostrata piuttosto controversa e ha suscitato discussioni attive sia online che offline.
mswada huu umeleta mkanganyiko mkubwa kiasi cha kuibua mijadala mikali katika mitandao ya intaneti na uraiani.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
non sarete rimproverati se accennerete a una proposta di matrimonio, o se ne coltiverete segretamente l'intenzione.
wala si vibaya kwenu katika kupeleka posa kwa ishara tu kwa wanawake waliomo edani au mkadhamiria katika nyoyo zenu.
Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
nella nota esplicativa al disegno di legge, gli autori della proposta giustificherebbero la necessità di tali restrizioni per i seguenti motivi:
katika taarifa ya kufafanua mswada huo, watunzi wa mswada huo walitetea ulazima wa kupitishwa sheria hiyo kwa hoja zifuatazo :
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
nel 2012 è stata presentata una proposta di legge su questo tipo di unioni allo yuan legislativo su iniziativa dell'alleanza taiwanese per la promozione dei diritti di unione civile .
muswada wa usawa wa haki ya ndoa ulipelekwa bungeni na taasisi ya umoja wa kukuza haki za ushiriki wa kiraia nchini taiwan mwaka 2012.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
il 20 dicembre dello stesso anno il concilio dell'ideologia islamica ha inoltre annunciato la proposta di emendamento della legge per prevenirne l'utilizzo improprio.
mnamo tarehe 20, desemba 2010, baraza la itikadi za kiislamu pia ilitangaza mabadiliko yaliyopendekezwa ili kuifanya sheria hiyo isitumiwe vibaya.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
in cambogia, il governo sta avanzando la proposta di creare uno snodo informatico gestito dallo stato per controllare tutti i provider internet locali. tale proposta è pensata per rafforzare la sicurezza della rete contro pornografia, furti e altri crimini cibernetici.
huko kambodia, serikali inapendekeza kuanzishwa kwa kituo cha taifa cha usambazaji ili kudhibiti watoa huduma za intaneti, kituo hicho kina nia ya kuimarisha usalama wa kwenye mtandao dhidi ya picha za ngono, wizi pamoja na uhalifu mwingine wa kwenye mtandao.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
gli attivisti omosessuali hanno iniziato a sollecitare i legislatori a riprendere il loro lavoro all'inizio di ottobre quest'anno, e il 16 ottobre si è tenuta una audienza pubblica per la proposta di legge.
wanaharakati wa haki za mashoga walianza kuwashinikiza wabunge waurudie mswada huo mwezi oktoba mwaka huu na usomaji wa wazi wa muswada huo ulifanyika oktoba 16.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
ma non voglio che ignoriate, fratelli, che molte volte mi sono proposto di venire da voi — ma finora ne sono stato impedito — affinché acquisti qualche frutto anche fra voi come fra il resto delle nazioni. io sono debitore ai greci e ai barbari, ai saggi e agli insensati: quindi, da parte mia, ho premura di dichiarare la buona notizia anche a voi che siete a roma. poiché non mi vergogno della buona notizia; essa è, infatti, potenza di dio per la salvezza di ognuno che ha fede, del giudeo prima e anche del greco; poiché in essa è rivelata la giustizia di dio a motivo della fede e in vista della fede, come è scritto: “ma il giusto vivrà per fede”.
lakini, akina ndugu, sitaki mkose kujua kwamba mara nyingi nilikusudia kuja kwenu ili niweze kujipatia matunda fulani kati yenu pia kama vile ilivyo kati ya mataifa mengine, lakini nimezuiwa mpaka sasa. mimi nina deni kwa wagiriki na kwa wabaribari pia, kwa wenye hekima na kwa wasio na akili pia: kwa hiyo nina hamu ya kuitangaza habari njema kwenu pia mlio huko roma. kwa maana siionei aibu habari njema; kwa kweli, hiyo ni nguvu za mungu kwa ajili ya wokovu kwa kila mtu aliye na imani, kwa myahudi kwanza na pia kwa mgiriki; kwa maana katika hiyo uadilifu wa mungu unafunuliwa kwa sababu ya imani na kuelekea imani, kama vile ilivyoandikwa: “lakini mwadilifu — ataishi kwa njia ya imani.”