Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.
Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
propterea abundantius oportet observare nos ea quae audivimus ne forte pereffluamu
kwa sababu hiyo tunapaswa kuzingatia kwa makini zaidi yote tuliyosikia, ili tusije tukapotoshwa.
Dernière mise à jour : 2012-05-04
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
in quo abundantius volens deus ostendere pollicitationis heredibus inmobilitatem consilii sui interposuit iusiurandu
naye mungu aliimarisha ahadi yake kwa kiapo; na kwa namna hiyo akawaonyesha wazi wale aliowaahidia kwamba hatabadili nia yake.
Dernière mise à jour : 2012-05-04
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
fur non venit nisi ut furetur et mactet et perdat ego veni ut vitam habeant et abundantius habean
mwizi huja kwa shabaha ya kuiba, kuua na kuharibu. mimi nimekuja mpate kuwa na uzima--uzima kamili.
Dernière mise à jour : 2012-05-04
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
et proficiebam in iudaismo supra multos coetaneos in genere meo abundantius aemulator existens paternarum mearum traditionu
naam, mimi niliwashinda wengi wa wananchi wenzangu wa rika langu katika kuizingatia dini ya kiyahudi, nikajitahidi sana kuyashika mapokeo ya wazee wetu.
Dernière mise à jour : 2012-05-04
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
ideo consolati sumus in consolatione autem nostra abundantius magis gavisi sumus super gaudium titi quia refectus est spiritus eius ab omnibus vobi
ndiyo maana sisi tulifarijika sana. siyo kwamba tulifarijika tu, ila pia tito alitufurahisha kwa furaha aliyokuwa nayo kutokana na jinsi mlivyomchangamsha moyo.
Dernière mise à jour : 2012-05-04
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
gratia autem dei sum id quod sum et gratia eius in me vacua non fuit sed abundantius illis omnibus laboravi non ego autem sed gratia dei mecu
lakini, kwa neema yake mungu, nimekuwa kama nilivyo. na neema yake kwangu haikuwa bure. mimi nimefanya kazi kuliko wote; si mimi hasa, ila ni neema ya mungu ifanyayo kazi pamoja nami.
Dernière mise à jour : 2012-05-04
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
nam gloria nostra haec est testimonium conscientiae nostrae quod in simplicitate et sinceritate dei et non in sapientia carnali sed in gratia dei conversati sumus in mundo abundantius autem ad vo
sisi tunajivunia kitu kimoja: dhamiri yetu inatuhakikishia kwamba tumeishi ulimwenguni hapa, na hasa kati yenu, kwa unyenyekevu na unyofu tuliojaliwa na mungu; hatukuongozwa na hekima ya kibinadamu bali neema ya mungu.
Dernière mise à jour : 2012-05-04
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :