Vous avez cherché: namba ya simu: (Swahili - Allemand)

Traduction automatique

Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.

Swahili

German

Infos

Swahili

namba ya simu:

German

 

De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Allemand

Infos

Swahili

namba ya mpiga kura

Allemand

the voter number

Dernière mise à jour : 2019-12-29
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

namna huduma ya kuhamisha fedha kwa njia ya simu ilivyobadili maisha ya wakenya

Allemand

mobiles bezahlen hat das leben in kenia auf dreierlei weise verändert

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

makapuni ya simu yameanza kutuma ujumbe wa kuelimisha wateja wao kuhusu ebola.

Allemand

mobilfunkanbieter haben begonnen, nachrichten zum thema ebola an ihre kunden zu schicken.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

m-pesa inafanya kazi kama benki; watumiaji wa huduma hiyo huhifadhi fedha kwenye simu zao na kutoa fedha kupitia wakala au duka la safaricom kwa kuonyesha kitambulisho na namba ya simu.

Allemand

dieser dienst wurde von kenias telekommunikationsgesellschaft safaricom eingeführt. m-pesa funktioniert wie eine bank: die teilnehmer speichern in ihren mobiltelefonen ein guthaben, das sie sich in einer safaricom-geschäftsstelle oder in irgendeiner der m-pesa-agenturen auszahlen lassen können. bei diesen verfügungen wird der kontoinhaber anhand seines bei safaricom gespeicherten fotos und eines nummerncodes identifiziert.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

wizara ya afya na ustawi wa jamii jijini banjul tayari imeanzisha laini ya simu inayopatikana masaa 24 kupitia mitandao yote nchini humo.

Allemand

das ministerium für gesundheit und soziales in banjul hat schon eine 24-stunden-informationshotline gestartet.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

mratibu wa programu wa afrika wa cpj, sue valentine anasema kuzima mtandao wa intaneti na mawasiliano ya simu katika nchi hiyo ni kukiukwa kwa haki za msingi za wa-kongo:

Allemand

die regierung unter kabila argumentiert, dass eine volkszählung notwendig sei, um die wahllisten für die präsidentschafts- und parlamentswahlen im jahr 2016 festzulegen.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

habari za mgonjwa wa kwanza wa ebola nchini senegali zilimfanya mtumiaji wa mtandao wa facebook nchini gambia arfang jobe kupendekeza kwamba makampuni ya simu yashirikiane na wizara ya afya kutuma ujumbe mfupi wa maneno kuwaelimisha watu kuhusiana na ugonjwa huo.

Allemand

die nachricht des ersten ebola-falles im senegal hat den gambischen facebook-nutzer afrang jobe dazu motiviert zu einer partnerschaft des gesundheitsministeriums und der mobilfunkbetreiber in gambia zu raten, die kurznachrichten an gambias bürger senden, um über die krankheit aufzuklären. hassan njie steht dieser empfehlung skeptisch gegenüber: the last thing we want is to send fear into the minds of gambians.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kwa mujibu wa waliotia sahihi, kila kanuni inakusudia kulazimisha kanuni za mawasiliano ya simu na utangazaji zilizopitishwa na kongamano la mexico kuzingatia kanuni za kikatiba na sheria za kimataifa kuhusu haki za binadamu iliyotiwa saini na mexico.

Allemand

die unterzeichner sind sich einig, das jede regulierung von telekommunikation und rundfunk, die durch den mexikanischen kongress genehmigt wird, den verfassungsgrundsätzen und den internationalen menschenrechten entsprechen sollte, denen sich mexiko verpflichtet hat.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kwa nyongeza, tayari jitihada za kiubunifu zimefanyika na haina shaka kuwa jitahada hizo zitaongeza kuenea kwa mitandao ya kijamii, ikiwa ni pamoja na kuanzishwa kwa huduma za kifedha kwa njia ya simu za mkononi ambayo kwa sasa inasaidia kukuza shughuli za kiuchumi.

Allemand

zudem wurden bereits einige innovationen entwickelt, die die verbreitung sozialer medien forcieren werden, darunter das nutzen von mobiltelefonen für kommerzielle aktivitäten.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

katika siku saba zijazo, wafasiri wa kujitolea wa mradi wa lingua wa taasisi ya global voices watakuwa wakitafsiri makala maalumu ambayo ni harakati ya utetezi unaofanywa na umma mtandaoni na ambao unasaidia kulinda haki za watu kwenye mitandao ya intaneti na kuzitaka serikali zilizo wanachama wa muungano wa kimataifa wa mawasiliano ya simu (international telecommunication union — itu) kutunza matumizi huru ya intaneti katika mkutano mkuu ujao wa itu.

Allemand

in den kommenden sieben tagen übersetzen die ehrenamtlichen Übersetzer von global voices lingua eine öffentliche online-petition für die wahrung der menschen- und bürgerrechte im internet, in der die mitgliedsstaaten der internationalen fernmeldeunion (itu) aufgefordert werden, auf ihrer bevorstehenden konferenz die offenheit des internets zu erhalten.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,770,638,997 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK