Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.
Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
picha na erika ordosgoitti.
image by erika ordosgoitti.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
imewekwa kwenye mtandao na erika ordosgoitti.
shared by erika ordosgoitti.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
tumemjulisha erika ordos kwamba tumefuta picha yake, lakini hatukumfahamisha nani aliwasilisha malalamiko.
we already told erika ordos that we deleted her photo, but we did not tell her who filed the complaint.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
picha ya taarifa kuhusu maudhui ya kingono kwenye mtandao wa facebook ikisema kwamba picha ya erika imelalamikiwa na hivyo, imefutwa.
screenshot of a report on pornographic content in facebook saying that erika's photo has been reported and therefore, deleted.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
hilo lisipotokea, matukio ya vifo yataendelea kuongezeka na kuwaathiri zaidi watu wa kawaida," alisema erika guevara rosas, mkurugenzi wa shirika la amnesty international wa mabara ya amerika.
unless this happens, the death toll will continue to rise with ordinary people bearing the brunt,” said erika guevara rosas, americas director at amnesty international.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent
msanii wa sanaa za maonesho wa venezuela erika ordosgoitti, ambaye kazi zake zinajikita zaidi kwenye maeneo ya mwili wa mwanamke, ni mfano mwingine wa mtu aliyekumbana na changamoto nyingi kwa sababu ya kuchapisha kazi zake za sanaa zenye kuonesha sehemu za siri kwenye mitandao ya kijamii.
venezuelan performance artist erika ordosgoitti, whose art focuses primarily on the female body, is another example of a person who has faced numerous challenges due to her publishing nude works on social media.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :