Vous avez cherché: akaya (Swahili - Anglais)

Swahili

Traduction

akaya

Traduction

Anglais

Traduction
Traduction

Traduisez instantanément des textes, des documents et des voix avec Lara

Traduire maintenant

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

kwa hiyo ninyi mmekuwa mfano mzuri kwa waumini wote wa makedonia na akaya.

Anglais

so that ye were ensamples to all that believe in macedonia and achaia.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

maana makanisa ya makedonia na akaya yemeamua kutoka mchango wao kuwasaidia watu wa mungu walio maskini huko yerusalem.

Anglais

for it hath pleased them of macedonia and achaia to make a certain contribution for the poor saints which are at jerusalem.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

lakini wakati galio alipokuwa mkuu wa mkoa wa akaya, wayahudi walimvamia paulo kwa pamoja na kumpeleka mahakamani.

Anglais

and when gallio was the deputy of achaia, the jews made insurrection with one accord against paul, and brought him to the judgment seat,

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

naahidi kwa ule ukweli wa kristo ulio ndani yangu, kwamba hakuna kitakachoweza kunizuia kujivunia jambo hilo popote katika akaya.

Anglais

as the truth of christ is in me, no man shall stop me of this boasting in the regions of achaia.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

maana, kutokana na bidii yenu ujumbe wa bwana umesikika si tu huko makedonia na akaya, bali imani yenu kwa mungu imeenea popote. tena hatuhitaji kusema zaidi.

Anglais

for from you sounded out the word of the lord not only in macedonia and achaia, but also in every place your faith to god-ward is spread abroad; so that we need not to speak any thing.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

mimi paulo, mtume wa kristo yesu kwa mapenzi ya mungu, na ndugu timotheo, tunawaandikia ninyi mlio kanisa la mungu huko korintho, na watu wote wa mungu kila mahali katika akaya.

Anglais

paul, an apostle of jesus christ by the will of god, and timothy our brother, unto the church of god which is at corinth, with all the saints which are in all achaia:

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

apolo alipoamua kwenda akaya, wale ndugu walimtia moyo kwa kuwaandikia wafuasi kule akaya wampokee. alipofika huko, aliweza kwa msaada wa neema ya mungu, kuwasaidia sana wale ndugu waliopata kuwa waumini;

Anglais

and when he was disposed to pass into achaia, the brethren wrote, exhorting the disciples to receive him: who, when he was come, helped them much which had believed through grace:

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

ninajua jinsi mlivyo na moyo wa kusaidia, na nilijivuna juu yenu kuhusu jambo hilo mbele ya watu wa makedonia. niliwaambia: "ndugu zetu wa akaya wako tayari tangu mwaka jana." hivyo, moto wenu umekwisha wahimiza watu wengi zaidi.

Anglais

for i know the forwardness of your mind, for which i boast of you to them of macedonia, that achaia was ready a year ago; and your zeal hath provoked very many.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
8,952,753,127 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK