Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
kazi ya sanaa ya kasha la albamu ya nyota ndogo iitwayo – mpenzi amekuwa akijikusanyia mashabiki wa muziki wa mahadhi ya afrika mashariki kwa zaidi ya miaka mine sasa.
an artwork of her nyota ndogo's cover album - mpenzishe has been collecting fans of her eclectic east african sound for over 4 years now.
mwaka 2012, baada ya kuzindua albamu yake iliyokuwa inaonyesha maumivu ya kutengenana na kiongozi wake wa kiroho na shauku yake kubw aya umoja wa watibeti, alibaki kimya kwa muda mrefu.
back in 2012, after he released an album that expresses the pain of separation from his spiritual leader and a strong desire for tibetan unity, he disappeared for quite a lengthy period of time.
mwezi machi, 2012, mwimbaji maarufu ugyen tenzin alikamatwa bada ya kutoa albamu yake yenye wimbo "mtiririko usiokoma wa damu ya moyo wangu".
in march 2012, popular singer ugyen tenzin was detained after the release of his album titled "an unending flow of my heart's blood".
mwezi aprili 2012, mwimbaji maarufu wa kitibeti lo lo naye alikamatwa baada ya kutoa albamu yake inayoitwa "pandisheni bendera ya tibet, enyi wana wa barafu".
in april 2012, popular tibetan singer lo lo was arrested after he released an album titled "raise the flag of tibet, sons of snow".
mtandao wa facebook pia ulijaa albamu za picha mpya zilizowekwa kuonyesha ziara za mandela maeneo mbalimbalih- hii moja, kwa niaba ya huduma ya habari ya jamaica, ya ziara yake ya kisiwa hicho katika miaka ya 1990, na hii nyingine, kwa hisani ya amber media productions, na nyingine ya ziara yake ya mwaka 2004 nchini trinidad na tobago.
facebook was also filled with newly uploaded photo albums chronicling mandela's regional visits - this one, courtesy the jamaica information service, of his visit to the island in the early 1990s, and this one, by amber media productions, of his 2004 visit to trinidad and tobago.