Vous avez cherché: aliandikwa kazi zaidi ya miaka arubaini ili... (Swahili - Anglais)

Traduction automatique

Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.

Swahili

English

Infos

Swahili

aliandikwa kazi zaidi ya miaka arubaini iliyopita

English

 

De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

imekuwa ni zaidi ya miaka 60, lakini historia inajirudia.

Anglais

it's been over 60 years, but the history stays the same.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

zaidi ya nusu yao (asilimia 52) ni wenye umri chini ya miaka 18.

Anglais

more than half of them (52%) are under 18.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

kumbuka hukumu ya miaka mitano ina maana anaweza kutoka jela si zaidi ya miaka miwili

Anglais

remember - 5 year sentence means he could be free after not much more than 2 years. #oscarpistorius — andrew harding (@bbcandrewh) october 21, 2014

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

jibu: (baada ya kimya kirefu) mobutu aliiongoza nchi hii kwa zaidi ya miaka 37.

Anglais

a: (long pause) mobutu led this country for over 37 years.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

safadi, ambaye amekuwa gerezani kwa zaidi ya miaka minne, anafahamika sana kama mtengenezaji wa zana huria za mtandaoni.

Anglais

safadi, who has been in prison for almost four years, is also a well-known open-source software developer.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

kwa hiyo hajakutana na watoto wake wawili, ambao hivi sasa wana umri wa zaidi ya miaka thelathini, kwa zaidi ya muongo mmoja sasa.

Anglais

she has not seen either of her two sons, now men in their thirties, for a decade.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

idadi hii ya vifo iko juu zaidi kwa wale walio na umri wa zaidi ya miaka 70 lakini inapungua pakubwa kwa wale walio chini ya umri wa miaka 40.

Anglais

the fatality rate is much higher for those over 70 but significantly lower for those under 40.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

rcgp rsc na phe zimeshirikiana kwa zaidi ya miaka 50 katika uchunguzi wa homa ya mafua na magonjwa ya pumu na sasa zimo katika msimu wao wa 53 wa uchunguzi na uchanganuzi.

Anglais

the rcgp rsc and phe have an established collaboration of over 50 years in influenza and respiratory disease surveillance and are now in their 53rd season of surveillance and analysis.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

: tovuti ya habari, zambian watchdog, iliwajulisha wananchi kuhusiana na kuzorota kwa afya ya rais michael sata kwa zaidi ya miaka miwili kabla ya kifo chake.

Anglais

: an online publication, zambian watchdog, alerted the nation to president michael sata’s failing health more than two years before he passed on.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

hakika sina cha kukulipa kama fadhila ya kuniweka tumboni mwako miezi tisa na kunibeba kwa mgongo na mikono yako kwa zaidi ya miaka miwili nasema akuna kama wew mama angu sina cha kukupa zaidi ya kusema asante kipenzi changu

Anglais

thank you for bringing me to earth today.

Dernière mise à jour : 2024-03-07
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

the journal liliripoti kuwa, zaidi ya asilimia 14 ya watu wa china ambao ni watu milioni 194 wana umri wa zaidi ya miaka 60, hii ni kwa mujibu wa taarifa za hivi karibuni za shirika la taifa la takwimu.

Anglais

the journal reported that more than 14 percent of china’s population, or 194 million people, are over 60 years old, according to the most recent figures from the national bureau of statistics.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

takribani nusu (47.7%) ya watu walioambukizwa walikuwa na zaidi ya miaka 50, wachache walikuwa chini ya miaka 20 na watu 14 pekee ndio walikuwa na umri wa chini ya miaka 10.

Anglais

almost half (47.7%) of the infected individuals were over 50 years old, very few were under 20, and only 14 infected individuals were under the age of 10.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

shukrani kwa wanaharakati na mahakama za kimataifa kufuatia taratibu za mashtaka dhidi ya guatemala. tunaamini zitazingatia matumizi ya nguvu waliyokumbana nayo wanawake wenyeji kwa zaidi ya miaka 36, ambapo walikuwa waathirika kwa sababu tu ya kuwa wanawake na kwa sababu ya kuwa wenyeji.

Anglais

thanks to activists the international courts following the genocide proceedings against guatemala will be taking into account the violence indigenous women faced for more than 36 years where they were victims because they were women and because they were indigenous.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

morsi, ambaye ni mwanachama wa chama cha muslim brotherhood, alikuwa rais wa misri kwa mwaka mmoja baada ya mapinduzi, aliyomng'oa hosni mubarak, aliyeitawala nchi hiyo kwa zaidi ya miaka 30.

Anglais

morsi, who is a muslim brotherhood member, was the president of egypt for one year after the revolution, which overthrew hosni mubarak, who ruled egypt for more than 30 years.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

baada ya kuchaguliwa, rais sata, katika taktiki yake yake nyingine kabambe kisiasa, aliistua dunia pale alipomteua swahiba wake wa siku nyingi na makamu wa rais wa chama chake, dk guy scott, mzambia mweupe ambaye amekuwa kwenye ulingo wa siasa nchini humo kwa zaidi ya miaka 20.

Anglais

after his election president sata, in another political masterstroke, surprised the world when he appointed his long time ally and his party’s vice president, dr guy scott, a white zambian who has been on the country’s political scene for over 20 years.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

uhakiki changamani, wa kimfumo ulianzishwa mnamo aprili 2020 kufuatilia maendeleo ya majaribio yaliyosajiliwa ya kimatibabu ya chanjo ya covid-19 na dawa zilizoteuliwa za matibabu. utengenezaji wa chanjo na dawa ni mchakato uaohusisha hatua nyingi, unaohitaji kwa kawaida zaidi ya miaka mitano ili kuhakikisha usalama na kemikali mpya.

Anglais

a dynamic, systematic review was established in april 2020 to track the progress of registered clinical trials for covid-19 vaccine and therapeutic drug candidates.vaccine and drug development is a multistep process, typically requiring more than five years to assure safety and efficacy of the new compound.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

nakumbuka mchezo wa kuangalia cha kusema, shauri ya kutokupenda kwangu michezo hatukuwahi kuwa na mazungumzo ya zaidi ya mistari mitano (kwa uhakika kabisa nakumbuka kwa zaidi ya miaka kumi), lakini kwa kufahamu mahusiano yetu katika maeneo mengine, angalau naweza kusema nilikuwa na baba.

Anglais

i remember i considered a game to look for something to talk about, due to my lack of interest in sports we never had a conversation longer than five lines (rightfully registered for over ten years), but knowing other cases and stories, i at least had a father.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

kwa zaidi ya miaka kumi, irene amekuwa akikabiliwa na mashtaka ya 'uhalifu wa kuvunjia heshima" (ambayo kwa sasa yamefutwa) baada ya kuchapisha memoranda akiihimiza serikali ya maylasia kuchunguza tuhuma za mateso yanayofanywa katika kambi za wakimbizi nchini humo.

Anglais

for more than ten years, irene has been faced with a ‘criminal defamation’ charge (which has now been dropped) for having published a memorandum, asking the malaysian government to look into alleged atrocities taking place in migrant camps in the country.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

licha ya mfumo wa kupiga kura kushambuliwa na 'waiba taarifa za mtandaoni', maelfu ya wapiga kura wenye kustahili (wakazi wa jiji walio na umri wa zaidi ya miaka 18) walisisitiza kutaka kupanga mstari nje ya vituo vya kupigia kura kusubiri zamu zao:

Anglais

despite the online voting system being attacked by hackers, thousands of legitimate voters (local residents aged over 18) insisted to queue outside polling stations to cast their ballots:

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,781,520,917 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK