Vous avez cherché: aliwaambia (Swahili - Anglais)

Swahili

Traduction

aliwaambia

Traduction

Anglais

Traduction
Traduction

Traduisez instantanément des textes, des documents et des voix avec Lara

Traduire maintenant

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

begum aliwaambia mawakala wa habari :

Anglais

begum told a news agency: i survived mainly by drinking water.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

yesu aliwaambia wanafunzi wake mbele ya watu wote,

Anglais

then in the audience of all the people he said unto his disciples,

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

yesu alipomaliza kusema hayo yote, aliwaambia wanafunzi wake,

Anglais

and it came to pass, when jesus had finished all these sayings, he said unto his disciples,

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

yesu aliwaambia mfano huo, lakini wao hawakuelewa alichotaka kuwaambia.

Anglais

this parable spake jesus unto them: but they understood not what things they were which he spake unto them.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

basi walipo kuja wachawi, musa aliwaambia: tupeni mnavyo tupa!

Anglais

and when the magicians came, musa said to them: cast down what you have to cast.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

aliwafundisha mambo mengi kwa mifano, na katika mafundisho yake aliwaambia,

Anglais

and he taught them many things by parables, and said unto them in his doctrine,

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

yesu aliwaambia watu hayo yote kwa mifano. hakuwaambia chochote bila kutumia mifano,

Anglais

all these things spake jesus unto the multitude in parables; and without a parable spake he not unto them:

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

yesu aliwaambia jambo hilo waziwazi. basi, petro akamchukua kando, akaanza kumkemea.

Anglais

and he spake that saying openly. and peter took him, and began to rebuke him.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

yesu aliwaambia, "msifadhaike mioyoni mwenu. mwaminini mungu, niaminini na mimi pia.

Anglais

let not your heart be troubled: ye believe in god, believe also in me.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

hapo wanafunzi wakafahamu kwamba aliwaambia wajihadhari siyo na chachu ya mikate, bali na mafundisho ya mafarisayo na masadukayo.

Anglais

then understood they how that he bade them not beware of the leaven of bread, but of the doctrine of the pharisees and of the sadducees.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

watu wote wakashangazwa na uwezo mkuu wa mungu. wale watu walipokuwa bado wanashangaa juu ya mambo yote aliyofanya, yesu aliwaambia wanafunzi wake,

Anglais

and they were all amazed at the mighty power of god. but while they wondered every one at all things which jesus did, he said unto his disciples,

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

wakati mwanawasa akiwa amelazwa hospitali, makamu wake lupando mwape, aliwaambia waandishi wa habari kwamba rais walikuwa anafanya mazoezi ya viungo jijini london.

Anglais

while mwanawasa was in a hospital bed, his vice president, lupando mwape, famously told the media that the president was jogging in london.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

yesu aliwaambia wanafunzi wake: "tajiri mmoja alikuwa na karani wake. huyu karani alichongewa kwamba alitumia ovyo mali ya tajiri wake.

Anglais

and he said also unto his disciples, there was a certain rich man, which had a steward; and the same was accused unto him that he had wasted his goods.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

aliwapotosha wakazi wa dunia kwa miujiza hiyo aliyojaliwa kutenda mbele ya mnyama wa kwanza. aliwaambia wakazi wa dunia watengeneze sanamu kwa heshima ya yule mnyama aliyekuwa amejeruhiwa kwa upanga lakini akaishi tena.

Anglais

and deceiveth them that dwell on the earth by the means of those miracles which he had power to do in the sight of the beast; saying to them that dwell on the earth, that they should make an image to the beast, which had the wound by a sword, and did live.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

hapo, barnaba alikuja akamchukua saulo, akampeleka kwa mitume na kuwaeleza jinsi saulo alivyomwona bwana njiani na jinsi bwana alivyoongea naye. aliwaambia pia jinsi saulo alivyokuwa amehubiri bila uoga kule damasko.

Anglais

but barnabas took him, and brought him to the apostles, and declared unto them how he had seen the lord in the way, and that he had spoken to him, and how he had preached boldly at damascus in the name of jesus.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

alipowajia mara ya tatu aliwaambia, "mnalala bado na kupumzika? sasa imetosha! saa imefika! mwana wa mtu anakabidhiwa kwa watu waovu.

Anglais

and he cometh the third time, and saith unto them, sleep on now, and take your rest: it is enough, the hour is come; behold, the son of man is betrayed into the hands of sinners.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

yesu alipozungumza nao tena, aliwaambia, "mimi ndimi mwanga wa ulimwengu. anayenifuata mimi hatembei kamwe gizani, bali atakuwa na mwanga wa uzima."

Anglais

then spake jesus again unto them, saying, i am the light of the world: he that followeth me shall not walk in darkness, but shall have the light of life.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

majibu hayo ya rais sata pamoja na tamko la awali alilokuwa amelitoa kwenye dhifa nyingine katika ziara yake hiyo ya botswana, ilitofautina na ile ya waziri wake wa mambo ya kigeni given lubinda ambaye aliwaambia wa-zambia wafanyao kazi zao nchini humo kwamba sera ya serikali ya chama cha pf haikuwa kuwarudisha nchini zambia wananchi wake waishio nje ya nchi.

Anglais

president sata’s responses and earlier statement at another function during his botswana visit, contrasted that of his foreign minister given lubinda who had told the botswana-based zambians that the pf government policy was that zambians in the diaspora did not have to relocate back to zambia.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
8,953,352,833 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK