Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
kwamba alimtokea kefa, na baadaye aliwatokea wale kumi na wawili.
and that he was seen of cephas, then of the twelve:
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
baada ya hayo yesu aliwatokea tena wanafunzi wake kando ya ziwa tiberia. aliwatokea hivi:
after these things jesus shewed himself again to the disciples at the sea of tiberias; and on this wise shewed he himself.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
baadaye yesu aliwatokea wanafunzi wawili akiwa na sura nyingine. wanafunzi hao walikuwa wanakwenda shambani.
after that he appeared in another form unto two of them, as they walked, and went into the country.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
kisha aliwatokea ndugu zaidi ya mia tano kwa mara moja; wengi wao wanaishi bado, lakini baadhi yao wamekwisha kufa.
after that, he was seen of above five hundred brethren at once; of whom the greater part remain unto this present, but some are fallen asleep.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
kwa muda wa siku arobaini baada ya kifo chake aliwatokea mara nyingi kwa namna ambazo zilithibitisha kabisa kwamba alikuwa hai. walimwona, naye aliongea nao juu ya ufalme wa mungu.
to whom also he shewed himself alive after his passion by many infallible proofs, being seen of them forty days, and speaking of the things pertaining to the kingdom of god:
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
mwishowe, yesu aliwatokea wanafunzi kumi na mmoja walipokuwa pamoja mezani. akawakemea sana kwa sababu ya kutoamini kwao na ukaidi wao, maana hawakuwaamini wale waliokuwa wamemwona baada ya kufufuka.
afterward he appeared unto the eleven as they sat at meat, and upbraided them with their unbelief and hardness of heart, because they believed not them which had seen him after he was risen.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :