Vous avez cherché: aliyekuwa (Swahili - Anglais)

Swahili

Traduction

aliyekuwa

Traduction

Anglais

Traduction
Traduction

Traduisez instantanément des textes, des documents et des voix avec Lara

Traduire maintenant

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

rasta aliyekuwa akitafuna huko muguka

Anglais

a rasta man chewing at muguka

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

misa na mazishi ya aliyekuwa kiongozi wa wanawake

Anglais

the mass and the funeral

Dernière mise à jour : 2024-08-29
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

kisha wakampeleka huyo mtu aliyekuwa kipofu kwa mafarisayo.

Anglais

they brought to the pharisees him that aforetime was blind.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

huyo mtu aliyekuwa amepooza akainuka, akaenda nyumbani kwake.

Anglais

and he arose, and departed to his house.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

hii ni mara ya kwanza kwa malawi kumzika rais aliyekuwa madarakani.

Anglais

this is the first time malawi will bury a sitting president.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

kickmugabeout anatumai kuwa aliyekuwa kiongozi wa awb anapata mateso ya milele.

Anglais

kickmugabeout hopes the former awb leader suffers eternal torment.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

mshiriki mmoja alielezea matatizo aliyoyapata kuwasiliana na mumewe aliyekuwa kambini.

Anglais

one participant described the difficulties she had in contacting her husband in a camp.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

mbele yake yesu palikuwa na mtu mmoja aliyekuwa na ugonjwa wa kuvimba mwili.

Anglais

and, behold, there was a certain man before him which had the dropsy.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

yeye ndiye aliyekuwa anaongoza ratiba katika mkutano huu wa umma uliohudhuriwa na watu 300.

Anglais

he was also the very entertaining mc during the public summit meeting attended by 300 people.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

basi, hapo palikuwa na mtu mmoja aliyekuwa mgonjwa kwa muda wa miaka thelathini na minane.

Anglais

and a certain man was there, which had an infirmity thirty and eight years.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

na walisema: hataingia peponi ila aliyekuwa yahudi au mkristo. hayo ni matamanio yao.

Anglais

and the people given the book(s) said, “none will enter paradise unless he is a jew or a christian”; these are their own imaginations; say (o dear prophet mohammed – peace and blessings be upon him), “bring your proof, if you are truthful.”

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

katika kurasa za twita, wengi wamuelezea sotloff kuwa ni mwandishi wa habari aliyekuwa makini.

Anglais

on twitter, many describe sotloff as a brave journalist.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

mume wa mkuu wa shule anaelezwa kuwa na ushawishi mkubwa wa kisiasa na ndiye aliyekuwa msambazaji wa chakula shuleni hapo.

Anglais

the school principal's husband is reported to be a political figure who was responsible for supplying food to the school.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

mkumbuke yesu kristo aliyefufuliwa kutoka wafu, aliyekuwa wa ukoo wa daudi, kama isemavyo habari njema ninayoihubiri.

Anglais

remember that jesus christ of the seed of david was raised from the dead according to my gospel:

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

kulikuwa pia na maskini mmoja jina lake lazaro, aliyekuwa amejaa vidonda na alikuwa analazwa mlangoni pa nyumba ya huyo tajiri.

Anglais

and there was a certain beggar named lazarus, which was laid at his gate, full of sores,

Dernière mise à jour : 2023-07-29
Fréquence d'utilisation : 2
Qualité :

Swahili

jimboni tamil nadu aliyekuwa mcheza filamu na waziri mkuu, jayalalitha, bado yumo mbioni baada ya kushindwa katika uchaguzi uliopita.

Anglais

in tamil nadu former actress and chief minister jayalalitha is in the running after being defeated in the previous elections.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

aliyekuwa makamu wa rais wa sudan kusini riek machar anatuhumiwa kwa mipango ya kuipindua serikali.picha kwa matumizi ya umma – voice of america

Anglais

south sudan's former vice-president riek machar is accused of plotting to overthrow the government.public domain image – voice of america

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

jessie puwapuwa anasema kwamba mwaka 1994 wa –malawi walipiga kura ili kumuondoa kamuzu banda aliyekuwa ametawala malawi kwa miaka 30:

Anglais

jessie puwapuwa observes that in 1994 malawians voted in order to get rid of kamuzu banda who had ruled malawi for 30 years:

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

abdel rahman, aliyekuwa mpita njia tu wakati wa maandamano, alikamatwa pamoja na abdel fattah, alipokuwa akiwasaidia wasichana waliokuwa wanadhalilishwa na polisi.

Anglais

abdel rahman, who was passing by the protest, was arrested along with abdel fattah, as he was helping some girls who were being harassed by the police.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

@simsimt: hadi hapo walipoamua kuachana na mimi, niliamrishwa na ofisa aliyekuwa mbele yangu, kunyimwa usingizi. #sudanrevolts

Anglais

@simsimt: when again, they finally gave up on me, i was ordered by an officer, in front of me, to be deprived from sleeping. #sudanrevolts

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
8,922,314,832 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK