Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
tehran siyo mji pekee ambako watu wanaopinga wanakandamizwa.
tehran is not the only city where people protesting have been repressed.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
"nchini india ambako kinyume cha kila kitu huwa ndio ukweli.
“india n. (perhaps it has potential as an adjective as well?): the land where the opposite of everything is always at least a little bit true.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent
aliwahishwa ufaransa, ambako alifariki dunia majuma kadhaa baadae.
he was rushed to france, where he died several weeks later.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
mpaka wa cameroon kaskazini, ambako where boko haram hufanya kazi zao
northern cameroon border, where boko haram operates
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
basi, nilikasirika, nikaapa: hawataingia huko ambako ningewapa pumziko."
so i sware in my wrath, they shall not enter into my rest.)
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent
jijini aleppo, anatembelea mahali ambako kombora lilianguka siku zipatazo 45 zilizopita.
in aleppo, she visits the site where a scud missile fell some 45 days earlier.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
jenan moussa akiwa aleppo, mahali ambako kombora la scud lilianguka siku 45 zilizopita.
jenan moussa in aleppo, at the site where a scud missile fell 45 days earlier.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
alipelekwa kwenye gereza la adra jijini damascus, ambako amekuwa anashikiliwa, mpaka leo.
he was then sent to the adra prison in damascus, where he has been held, until today.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
jengo hilo liko mahali ambako panatakiwa kwa ajili ya mradi wa serikali wa kuunganisha barabara mbili.
the house stands in the way of a district government’s project to link two roads.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
ndege ilianguka ndani ya mipaka ya mji ambako watu wengi waliweza kuona ni nini kilichokuwa kinatokea kutokea madirishani.
the plane crashed within the city borders where many people could see what happened right from their windows.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
dina pia alikuwa amelala, na mama yao amewaambia nada na haya kwenda chumbani kwao ambako panaweza kuwa salama zaidi.
dina had also fallen asleep, and their mother had told nada and haya to go to their room, where it would be safer.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
wakati apolo alipokuwa korintho, paulo alisafiri sehemu za bara, akafika efeso ambako aliwakuta wanafunzi kadhaa.
and it came to pass, that, while apollos was at corinth, paul having passed through the upper coasts came to ephesus: and finding certain disciples,
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
@jenanmoussa: mapema leo nilienda kwenye eneo ambako kombora la scud lilidondoka siku zipatazo 45 zilizopita hapa aleppo.
@jenanmoussa: earlier today i went to site where scud missile fell 45 days ago in #aleppo.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
na hivyo tunatazamia kupata baraka zile ambazo mungu aliwawekea watu wake. mungu amewawekeeni baraka hizo mbinguni ambako haziwezi kuoza au kuharibika au kufifia.
to an inheritance incorruptible, and undefiled, and that fadeth not away, reserved in heaven for you,
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
lakini ajali ilitokea mbali na maeneo ya mjini ambako, kama mashihidi walivyotaarifu, uwezo wa kupatikana kwa mawasiliano ya simu za mkononi ulikuwa mdogo.
but the crash happened far from any metropolitan area where, as witnesses reported, the cell phone coverage was limited.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
macho makali ya wanablogu-wapiga picha yamenasa nyakati na taswira katika mitaa ya irani ambako watu waliwapigia debe wagombea wanaowapenda pamoja na madai yao ya kisiasa.
the sharp eyes of blogger-photographers have captured moments and scenes in the streets of iran where people promote their favorite candidates and political demands.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
alikuwa na mazungumzo na maofisa wa lebanoni na alizuru ngome za maswahiba wa irani, hezbollah, katika vitongoji vya kusini mwa mji mkuu na kusini mwa lebanoni ambako alipata mapokezi ya shujaa.
he held talks with lebanese officials and visited strongholds of iran's ally hezbollah in the capital's southern suburbs and south lebanon, and received a hero's welcome.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
africa festival web ni jukwaa la kubadilishana uzoefu miongoni mwa wataalam, wapenda mtandao na watu wajifunzao mambo mapya kutoka duniani kote, ambako hali ya sasa ya mambo kwenye ukuzaji wa mtandao itajadiliwa.
the africa festival web is a platform for exchanges between experts, web enthusiasts and novices from around the world, where the current state of the affairs in the field of web development will be discussed.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
tumetengeneza jukwaa la kielektroniki (mkoba-pepe) ambako tuliwasajili wakulima na wafanyabiashara wa mazao ya kilimo wanaomiliki maduka yanayouza pembejeo za kilimo kote nchini.
we created an electronic platform (e-wallet) on which we registered farmers and agro dealers who own shops that sell farm inputs all over the country.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
dr. atuguba katika mahojiano yake kwenye kipindi cha citi breakfast jumatano alisema kiini cha maslahi ya wanajeshi hao nchini ghana ni kuwafundisha kuwa walinzi wa maslahi yao wananchi wa mkoa wa magharibi wa ghana, ambako kwenye ufukwe wake, nchi itakuwa ikichimba mafuta.
dr. atuguba in an interview on the citi breakfast show on wednesday said the essence of militants' interest in ghana is to mentor folks in the western region of ghana, on whose offshore, the country will be drilling oil to be protective of their interest.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :