Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
kwa sababu ya kuogopa kukwama kwenye miamba, waliteremsha nanga nne nyuma ya meli; wakaomba kuche upesi.
then fearing lest we should have fallen upon rocks, they cast four anchors out of the stern, and wished for the day.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
dhoruba iliendelea kuvuma na kesho yake wakaanza kutupa nje shehena ya meli.
and we being exceedingly tossed with a tempest, the next day they lightened the ship;
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
athari katika sekta ya meli za kifahari ilikuwa katika kiwango ambayo haijaonekana hapo awali.
the impact on the cruise line industry was at a level never seen before.
Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
watu walitupatia zawadi mbalimbali na wakati tulipoanza tena safari, walitia ndani ya meli masurufu tuliyohitaji.
who also honoured us with many honours; and when we departed, they laded us with such things as were necessary.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
lakini paulo alimwambia yule ofisa wa jeshi na askari wake, "kama wanamaji hawa hawabaki ndani ya meli, hamtaokoka."
paul said to the centurion and to the soldiers, except these abide in the ship, ye cannot be saved.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent
lakini walifika mahali ambapo mikondo miwili ya bahari hukutana, na meli ikakwama. sehemu ya mbele ilikuwa imezama mchangani bila kutikisika. sehemu ya nyuma ya meli ilianza kuvunjika vipandevipande kwa mapigo ya nguvu ya mawimbi.
and falling into a place where two seas met, they ran the ship aground; and the forepart stuck fast, and remained unmoveable, but the hinder part was broken with the violence of the waves.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Certaines traductions humaines peu pertinentes ont été masquées.
Affichez les résultats peu pertinents.