Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
amesema
he/she has said
Dernière mise à jour : 2011-09-21
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
sema: mwenyezi mungu amesema kweli.
(muhammad), say, "god has spoken the truth.
Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent
mola wako mlezi amesema: haya ni mepesi kwangu!
thy lord saith: it is easy for me.
Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
amesema akauongeleshajl jion tukimaliza kushuka but mwambie pia live in
arrange
Dernière mise à jour : 2024-12-19
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
na mwenyezi mungu amesema: msiwe na miungu wawili!
allah has said, ‘do not worship two gods.
Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
nimemwambia amesema awezi kukusaidia mana malayakwaza amekusaidia ukumpa ata ela ��
who is this guy
Dernière mise à jour : 2024-04-08
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
akasema: ndio hivyo hivyo amesema mola wako mlezi: haya ni mepesi kwangu.
(the angel) answered: "thus will it be.
Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent
na ikiwa kanzu yake imechanwa nyuma, basi mwanamke amesema uwongo, naye yusuf ni katika wakweli.
"but if it be that his shirt is torn from the back, then is she the liar, and he is telling the truth!"
Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent
na wapo miongoni mwao wanao kusikiliza, mpaka wakiondoka kwako huwauliza walio pewa ilimu: amesema nini sasa hivi?
(muhammad), some of them listen to you, but when they leave you they ask those who have received knowledge, "what did he say a few moments ago?"
Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent
basi, alipofufuliwa kutoka wafu, wanafunzi wake walikumbuka kwamba alikuwa amesema hayo, wakaamini maandiko matakatifu na yale maneno aliyokuwa akisema yesu.
when therefore he was risen from the dead, his disciples remembered that he had said this unto them; and they believed the scripture, and the word which jesus had said.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
msemaji wa chama cha udugu wa ki-islamu amesema watu 2,000 waliuawa katika "mauaji hayo ya halaiki".
a muslim brotherhood spokesman has said 2,000 people were killed in the “massacre.”
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent
(malaika) akasema: ndio hivyo hivyo! mola wako mlezi amesema: haya ni mepesi kwangu!
"even so" he replied, "as such your lord has said: 'easy it is for me.
Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent
pia, jacob zuma amesema leo kuwa “waafrika kusini wasiruhusu wachochezi kutumia tukio hili na kuchochea au kutia mafuta chuki za misingi ya rangi".
jacob zuma also said today that "south africans not to allow agent provocateurs to take advantage of this situation by inciting or fuelling racial hatred”.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent
mola wako mlezi amesema: haya ni mepesi kwangu! na ili tumfanye kuwa ni ishara kwa watu, na rehema itokayo kwetu, na hilo ni jambo lilio kwisha hukumiwa.
he said, “so it is; your lord has said, ‘this is easy for me’; and in order that we make him a sign for mankind and a mercy from us; and this matter has been decreed.”
Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
msiwe watu wa kupenda fedha; toshekeni na vile vitu mlivyo navyo. mungu mwenyewe amesema: "sitakuacha kamwe, wala sitakutupa."
let your conversation be without covetousness; and be content with such things as ye have: for he hath said, i will never leave thee, nor forsake thee.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent