Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
"mwalimu, mose alituagiza hivi: mtu akifa na kuacha mke bila mtoto, ndugu yake lazima amchukue huyo mama mjane amzalie watoto ndugu yake marehemu.
master, moses wrote unto us, if a man's brother die, and leave his wife behind him, and leave no children, that his brother should take his wife, and raise up seed unto his brother.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent
basi, wakamwambia, "mwalimu, mose alisema mtu aliyeoa akifa bila kuacha watoto, lazima ndugu yake amwoe huyo mama mjane, amzalie ndugu yake watoto.
saying, master, moses said, if a man die, having no children, his brother shall marry his wife, and raise up seed unto his brother.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent
"mwalimu, mose alituandikia kwamba kama ndugu ya mtu fulani akifa na kumwacha mjane wake bila watoto, ni lazima ndugu yake amchukue huyo mama mjane, amzalie watoto ndugu yake marehemu.
saying, master, moses wrote unto us, if any man's brother die, having a wife, and he die without children, that his brother should take his wife, and raise up seed unto his brother.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent