Vous avez cherché: anayetaka (Swahili - Anglais)

Swahili

Traduction

anayetaka

Traduction

Anglais

Traduction
Traduction

Traduisez instantanément des textes, des documents et des voix avec Lara

Traduire maintenant

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

uanachama uko wazi kwa yeyote anayetaka kutuma ombi

Anglais

membership is open to anyone who wishes to apply

Dernière mise à jour : 2021-10-26
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

hakuna anayetaka nchi hii iwe kama zimbabwe au iran.

Anglais

nobody wants this country to become like zimbabwe or iran.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

anayetaka kuwa wa kwanza, sharti awe mtumishi wa wote.

Anglais

and whosoever of you will be the chiefest, shall be servant of all.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

na anayetaka kuwa wa kwanza kati yenu sharti awe mtumishi wenu.

Anglais

and whosoever will be chief among you, let him be your servant:

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

nina odds 6 kwa anayetaka kulipa baada ya ushindi anitafute binafsi

Anglais

i have 6 odds for anyone wishing to pay enigma win find me a personal

Dernière mise à jour : 2022-12-12
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

hata hivyo, hakuna mtu yeyote kutoka pakistani anayetaka sheria hii ibatilishwe.

Anglais

however no one from pakistan demands to repeal this law.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

yeyote anayetaka kuiokoa nafsi yake, ataipoteza; na yeyote anayeipoteza, ataiokoa.

Anglais

whosoever shall seek to save his life shall lose it; and whosoever shall lose his life shall preserve it.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

lakini kwenu isiwe hivyo, ila anayetaka kuwa mkuu kati yenu, sharti awe mtumishi wenu.

Anglais

but so shall it not be among you: but whosoever will be great among you, shall be your minister:

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

lakini kwenu isiwe hivyo, ila yeyote anayetaka kuwa mkuu kati yenu sharti awe mtumishi wa wote;

Anglais

but it shall not be so among you: but whosoever will be great among you, let him be your minister;

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

ni wazi, basi, kwamba mungu humhurumia yeyote anayetaka kumhurumia, na akipenda kumfanya mtu awe mkaidi, hufanya hivyo.

Anglais

therefore hath he mercy on whom he will have mercy, and whom he will he hardeneth.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

maana, mtu anayetaka kuyaokoa maisha yake mwenyewe, atayapoteza; lakini atakayeyapoteza maisha yake kwa ajili yangu, atayaokoa.

Anglais

for whosoever will save his life shall lose it: but whosoever will lose his life for my sake, the same shall save it.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

je, yanayotangazwa na vyombo vikuu vya habari yana maana yoyote, kama yeyote anayetaka kupata habari halisi anatafuta alama habari kwenye mtandao wa twitter?

Anglais

does it even matter what the media report, when anyone who wants the real story seeks out hashtags on twitter?

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

ili kufanikisha hilo, tanataka kumwezesha kila mmoja ambaye anataka kujieleza kuwa na njia za kujieleza – na kila mmoja anayetaka kusikiliza, awe na njia za kusikiliza.

Anglais

to that end, we seek to enable everyone who wants to speak to have the means to speak — and everyone who wants to hear that speech, the means to listen to it.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

ninyi ni watu msio na uaminifu kama wazinzi. je, hamjui kwamba kuwa rafiki wa ulimwengu ni kuwa adui wa mungu? yeyote anayetaka kuwa rafiki wa ulimwengu anajifanya adui wa mungu.

Anglais

ye adulterers and adulteresses, know ye not that the friendship of the world is enmity with god? whosoever therefore will be a friend of the world is the enemy of god.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

mbunge wa chama tawala cha saeunri yuko kikaangoni kwa kumtuhumu kimakosa mzazi wa mmoja wa wahanga wa ajali hiyo kuwa mtu asiyehusika 'anayetaka kuchochea tu hasira dhidi ya serikali'.

Anglais

a governing saeunri party lawmaker is under fire for wrongfully accusing a victim's parent of being an outsider "who wants to stir up turmoil and grudges against the government".

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

ili kufikia lengo hilo, tunataka kumwezesha kila mmoja ambaye anataka kusema kuwa na njia za kusema – na kila mmoja anayetaka kusikiliza, awe na njia za kisikilizia kauli hizo.”

Anglais

to that end, we seek to enable everyone who wants to speak to have the means to speak — and everyone who wants to hear that speech, the means to listen to it.”

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

radwa el-shami alihoji sababu zilizo nyuma ya idadi kubwa ya wagombea wanaoutaka urais nchini misri: idadi inaongezeka na nimeanza kujiuliza kwa makini dhamira na nia za kila mtu anayetaka kupanda kwenye kiti cha enzi cha misri.

Anglais

radwa el-shami questioned the reason behind the huge number of candidates running for presidency in egypt: the number is increasing and i am seriously starting to question the intentions and motives of every person willing to ascend the throne of egypt.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

inanishangaza kwamba, pamoja na mazungumzo yote kuhusu kuongeza uzalishaji wa umeme, hakuna anayetaka kukiri kuona kuwa inawezekana kabisa kuwa ukiritimba wa serikali na vitendo vya ufisadi ni tatizo, na kwamba mabilioni yanayokwenda serikalini yanakuza ufisadi tu, yakisaidia walengwa kwa kiasi kidogo sana.

Anglais

it amazes me that, with all of the talk about increasing electricity production, nobody wants to admit into the discussion the possibility that government monopolies and corruption are the problem, and that billions more in money transferred to governments will only entrench the corruption further, with little benefit for the people.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
8,947,353,669 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK