Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
manabii wote waliongea juu yake kwamba kila mtu atakayemwamini atasamehewa dhambi zake zote kwa jina lake."
to him give all the prophets witness, that through his name whosoever believeth in him shall receive remission of sins.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent
"yeyote anayesema neno la kumpinga mwana wa mtu atasamehewa; lakini anayemkufuru roho mtakatifu hatasamehewa.
and whosoever shall speak a word against the son of man, it shall be forgiven him: but unto him that blasphemeth against the holy ghost it shall not be forgiven.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent
tena, asemaye neno la kumpinga mwana wa mtu atasamehewa, lakini yule asemaye neno la kumpinga roho mtakatifu, hatasamehewa, wala katika ulimwengu huu, wala katika ulimwengu ujao.
and whosoever speaketh a word against the son of man, it shall be forgiven him: but whosoever speaketh against the holy ghost, it shall not be forgiven him, neither in this world, neither in the world to come.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :