Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
atawalipa kwa hayo wanayo mzulia.
he will punish them for what they fabricate.
Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
mwenyezi mungu atawalipa kwa maelezo yao hayo.
god will give them what they deserve for (their unjust laws).
Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
wanamzulia uwongo tu mwenyezi mungu. atawalipa kwa hayo wanayo mzulia.
all these are false fabrications against allah, and he will soon requite them for all that they fabricate.
Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
na ama wale walio amini na wakatenda mema basi mwenyezi mungu atawalipa ujira wao kaamili.
and as for those who believe (in the oneness of allah) and do righteous good deeds, allah will pay them their reward in full.
Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
mwenyezi mungu atawalipa kwa maelezo yao hayo. hakika yeye ni mwenye hikima, mwenye kujua.
anon he shall requite them for their attribution verily he is wise, knowing.
Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
na atakaye geuka akarudi nyuma huyo hatamdhuru kitu mwenyezi mungu. na mwenyezi mungu atawalipa wanao mshukuru.
and he who turns back on his heels will never harm allah at all; but allah will reward the grateful.
Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
basi mwenyezi mungu atawalipa, kwa yale waliyo yasema, bustani zipitazo mito katika yake; humo watadumu.
allah hath rewarded them for that their saying - gardens underneath which rivers flow, wherein they will abide for ever.
Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
basi mwenyezi mungu atawalipa, kwa yale waliyo yasema, bustani zipitazo mito katika yake; humo watadumu. na haya ndiyo malipo ya wafanyao wema.
and god rewards them for what they say with gardens underneath which rivers flow, therein dwelling forever; that is the recompense of the good-doers.
Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
na ama walio amini na wakatenda mema atawalipa ujira wao sawa sawa, na atawazidishia kwa fadhila yake. na ama wale walio ona uvunjifu na wakafanya kiburi, basi atawaadhibu adhabu iliyo chungu.
as for the believers, who do deeds of righteousness, he will pay them in full their wages, and he will give them more, of his bounty; and as for them who disdain, and wax proud, them he will chastise with a painful chastisement, and they shall not find for them, apart from god, a friend or helper.
Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :