Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.
Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
rafael correa aapishwa kwa kipindi cha tatu kama rais wa ekuado
rafael correa sworn in for third term as president of ecuador · global voices
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
rais rafael correa mara baada ya kukabidhiwa madaraka ya kuongoza nchi yake.
presidente rafael correa takes office.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
president correa ana mahusiano ya karibu sana na vyombo vya habari nchini humo.
president correa has a tense relationship with the media in the country.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
rafael correa amekabidhiwa madaraka kuwa rais wa jamhuri ya ekuado kwa kipindi kingine mpaka mwaka 2017.
rafael correa took power as president of the republic of ecuador to govern until 2017.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
correa na makamu wake jorge glas waliapishwa na rais wa bunge, gabriela rivadeneira, asubuhi ya mei 24, 2013.
correa and his vice president jorge glas were sworn in before the president of the national assembly, gabriela rivadeneira, on the morning of may 24, 2013.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
katika miaka 3, imeweza kushikilia tofauti kati yake na utawala wa rais rafael correa, ambayo mara nyingi imetoa wito wa kufungwa kwa idhaa hiyo.
during those 3 years, it has maintained strong discrepancies with president rafael correa's regime, which has called many times for the closing of the television channel.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
correa aliianza awamu yake ya tatu katika bunge akishuhudiwa na wakuu wa nchi kadhaa za marekani ya kusini na ulaya, wawakilishi wa kimataifa, wabunge, mawaziri, wanafamilia wake na wanachama wa chama tawala cha alianza pais.
correa took on his third term at the national assembly before the heads of state of different latin american and european countries, international delegations, assembly members, ministers, family members, and members of the governing party alianza pais.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
mwisho, elector ecuador (@electorecuador) , mradi wa kiraia ambao unawahabarisha wapiga kura kuhusu wagombea wa uchaguzi nchini humo, alimpongeza correa na makamu wake:
finally, elector ecuador (@electorecuador) , a citizen initiative that informed voters about the election candidates in the country, congratulated correa and his vice president:
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
@carlosmacas19: rafael correa "makao makuu ya tume hiyo (iahcr) ni lazima yawe katika nchi inayoridhia makubaliano ya san jose" #posesiónpresidencial rt
@carlosmacas19: rafael correa "the headquarters of the iahcr has to be in a country that has ratified the pact of san jose" #posesiónpresidencial rt
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent