Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
dansi na kwimba
sing to the heart
Dernière mise à jour : 2017-04-05
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
simama ucheze dansi
get up and dance and i will gift you
Dernière mise à jour : 2025-01-07
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
je, unapenda kucheza dansi?
you want me to dance
Dernière mise à jour : 2024-07-12
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
tallawah ametuma picha kutoka katika muhula wa 2010 wa kikundi cha taifa cha dansi cha jamaica.
tallawah posts photographs from the national dance theatre company of jamaica's 2010 season.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
kuna tofauti kubwa kati ya kelele inayoudhi ya nyuki wanaozunguka juu ya kichwa chako na ile ya dansi ya samba.
there is a big difference between an annoying swarm of bees buzzing around your head a samba dance.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
hiyo ni aina ya dansi ngumu ya kugongagonga kama inavyochezwa na gerard henderson katika makala ya kupigwa kwa wanafunzi kwafundisha masomo makali kuhusu ubaguzi wa rangi.
that's the convoluted tap dance performed by gerard henderson in student assaults teach some harsh lessons about racism.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
kampuni ndogo ya kujitegemea ya utayarishaji wa muziki wa mahadhi ya dansi nchini ukraine imekonga nyoyo za watumiaji wa you tube pamoja na wale wa apple kupitia kwenye video fupi ya muziki ambayo hadi sasa imeshatazamwa na watu zaidi ya nusu milioni.
a little-known ukrainian indie rock collective has captured the hearts of youtube users—and apple fans—with a cleverly shot music video that now has over half a million views.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
akiandika kutokea nigeria, oluniyi david ajao anatoa orodha ya nyimbo 26 anazozipenda za michael jackson , wakati mwanablogu wa uganda serekelz anaienzi kumbukumbu ya jackson kwa maagizo ya jinsi ya kucheza dansi ya mtindo wa kutembea mwezini, ambao ni muondoko wa dansi uliobuniwa na jackson.
writing from nigeria, oluniyi david ajao offers a list of his 26 favorite michael jackson songs, while ugandan blogger serakelz honors jackson's memory with instructions on how to do the moonwalk, a dance move created by jackson.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
mashabiki wengi wanasafiri kwenye brazili watakuwa hawajasikia chochote kuhusu muziki wa baile funk (aina ya dansi) kwa sababu ilipigwa marufuku kwa umaarufu wake wa uchezaji na sauti, ambayo 'alamu' za kipolisi na milio ya risasi.
most fans traveling to brazil will not have heard any baile funk (dance funk) because it has been banned for its popularity in favelas and for its racy sounds, which feature police sirens and gunshots.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence: