Vous avez cherché: garama za matibabu jumla ni (Swahili - Anglais)

Traduction automatique

Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.

Swahili

English

Infos

Swahili

garama za matibabu jumla ni

English

 

De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

gharama za matibabu kwa ajili ya mama

Anglais

the cost of medical

Dernière mise à jour : 2023-05-03
Fréquence d'utilisation : 2
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kuthibiti hali hii, ukosefu wa vifaa vya kinga ni mbaya kiasi kwamba glovu za matibabu zinauzwa kwa bei juu.

Anglais

compounding this situation, the lack of protective equipment is so serious that medical gloves are being sold on the black market.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

serikali inakataa kumsafirisha bw. pourshajari kwenda kupata huduma za matibabu na wanamnyima huduma hiyo, ili apoteze maisha.

Anglais

the authorities are refusing the transfer of mr. pourshajari to a medical facility and are depriving him of all his medications, in the hope that he will soon die.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

njia nyingine za matibabu yasiyo amilifu ya kinga mwili, kwa mfano, kutumia kingamwili zilizotengenezwa za kloni za namna moja zinaundwa.

Anglais

other forms of passive antibody therapy, for example, using manufactured monoclonal antibodies, are in development.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

mtandao wa ushahidi umetengeneza ramani shirikishi inayotanda juu ya taarifa za vitisho, watu wanaohitaji misaada, huduma za matibabu, chakula pamoja na misaada mingine.

Anglais

the ushahidi network has created a very detailed interactive map overlaying information on threats, people needing assistance, medical care, food and other aid availability by type.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

katika nchi hii watu wanakufa kwa njaa, wanakufa kwa kuteswa, wanakufa tu kwa sababu hawana hata nusu ya mahitaji ya misingi kwa ajili ya kuishi na hawana huduma za matibabu, acha ile tu kujua kama wanahitaji...

Anglais

in this country people die of hunger, they die of torture, they simply die because they don’t have half the basic humane standards of living and medical attention, let alone awareness…

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kwa kuwa baadhi ya wahamiaji wa myanmar hawezi kumudu gharama za matibabu, timu ya huduma za bure za mazishi ya kampung nchini malasia (kampung ffss) ilitoa msaada kwa wahanga.

Anglais

since some of the injured myanmar migrants cannot afford the hospital bills, the malaysia kampung free funeral service social team (kampung ffss) gave donation to the victims.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

hii inamaanisha kwamba virusi vinaenea ndani ya jumuiya na baadhi ya wanajumuiya hawafahamu ni wapi au jinsi walivyoambukizwa.watoa huduma za matibabu waliomtibu mtu ambaye huenda wameambukizwa wanapendekezewa kutumia tahadhari za kawaida, tahadhari za waligusana na ulinzi wa jicho.kufuatilia watu waliogusana ni njia muhimu ya mamlaka ya afya kubaini chanzo cha maambukizi na kuzuia usambazaji zaidi.

Anglais

this means that the virus is spreading within communities, and some community members don't know where or how they were infected.health care providers taking care of someone who may be infected are recommended to use standard precautions, contact precautions, and eye protection.contact tracing is an important method for health authorities to determine the source of an infection and to prevent further transmission.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

idadi hizi hutofautiana kulingana na mkoa na muda na huathiriwa na idadi ya vipimo, ubora wa mfumo wa huduma ya afya, chaguo za matibabu, muda tangu mlipuko wa kwanza kutokea na sifa za idadi ya watu kama vile umri, jinsia, na afya kwa ujumla.

Anglais

these numbers vary by region and over time and are influenced by the volume of testing, healthcare system quality, treatment options, time since initial outbreak and population characteristics such as age, sex and overall health.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

anapata laki sita hadi saba kwa mwaka kutoka kwenye korosho na laki nne kutoka ufuta jumla ni milioni kwa mwaka ambayo ni sawa na 83333.3/= kwa mwezi na anatumia 5000/= kwa siku ambayo ni sawa na 150000/= kwa mwezi

Anglais

he gets six to seven thousand a year from cashew nuts and four thousand from sesame total is a million a year which equals 83333.3 / = per month and he uses 5000 / = a day which equals 150000 / = a month

Dernière mise à jour : 2020-01-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

mnamo machi, shirika la afya duniani lillizindua "jaribio la umoja" ili kutathmini athari za matibabu za dawa nne zilizopo zinazopigana na virusi kukiwa na ahadi kubwa ya ufanisi.

Anglais

in march, the world health organization initiated the "solidarity trial" to assess treatment effects of four existing antiviral compounds with the most promise of efficacy.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

c / kusugua juisi ya kitungu kwenye karatasi, inaweza kutumika kama wambiso. vitunguu na limao au siki ya cider ni utakaso mzuri wa uso. wakati vitunguu hutumiwa kwa wastani katika lishe yako, unaweza kufikia faida zote za matibabu zilizoelezwa hapo juu. kulingana na who, karafuu ya vitunguu kwa siku, kwa muda mrefu, ingekuweka afya, maisha yako yote. ikiwa unatumia vitunguu kutibu hali kadhaa za kiafya, unaweza kutumia karafuu 2 3. kuna virutubisho vingi vya vitunguu vinavyopatikana kwenye soko. ikiwa o

Anglais

c/rubbing clove juice on paper, it can be used as an adhesive. garlic with lemon or cider vinegar is a good facial cleanser. when garlic is used in moderation in your diet, you can achieve all the above stated medical benefits. according to the who, a clove of garlic a day, over a long period of time, would keep you healthy, all your life. if you are using garlic to treat some medical conditions, you can consume 2 3 cloves. there are a lot of garlic supplements available in the market. in case o

Dernière mise à jour : 2021-10-23
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,783,830,528 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK