Vous avez cherché: haya mwaka hamsini ni mwaka mzuri (Swahili - Anglais)

Swahili

Traduction

haya mwaka hamsini ni mwaka mzuri

Traduction

Anglais

Traduction
Traduction

Traduisez instantanément des textes, des documents et des voix avec Lara

Traduire maintenant

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

mwaka mmoja akiwa gerezani kwa kuandaa maandamano ni mwaka mrefu sana

Anglais

#freealaa one year in prison for organizing a protest is one year too long. pic.twitter.com/xckgfudn6f — ethan zuckerman (@ethanz) october 26, 2015

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

ni siku ya kwanza ya mwaka inayoashiria kuwa utakuwa ni mwaka wa kusisimua.

Anglais

it’s the first day of the year that promises to be very exciting.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

mwaka 2012 umekuwa ni mwaka wa ukuaji wa kasi kabisa na mwaka wa mafanikio kwa mtandao wa sauti za dunia.

Anglais

2012 has been a year of tremendous growth and success for gv.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

leo ni mwaka mwingine kwenye historia ya maisha yangu ahsante wazazi wangu kwa maombi maombi yenu

Anglais

today is another year in my life history thank you to my parents for your prayers.

Dernière mise à jour : 2023-04-17
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

ni mwaka wa 25 tangu kuzalwia kwa mtandao wa intaneti unaopatikana duniani kote ujulikanao kama "world wide web"!

Anglais

it's the 25th birthday of the world wide web!

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

ndio nilikuwa nimemaliza elimu yangu ya sheria jijini lima. ilikuwa ni mwaka 1993 na ambapo wakati huo peru yangu niipendayo ndiyo ilikuwa inajijenga mara baada ya miaka 12 ya machafuko ya wenyewe kwa wenyewe yaliyogharimu maisha ya makumi elfu ya watu.

Anglais

i had just graduated from law school in lima. it was late 1993 and my beloved peru was recovering from 12 years of internal conflict which had claimed tens of thousands of lives.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

jina lang ni aisha haji mdimu ni mtanzania natokea mkoa wa tanga wilaya ya lushoto kijiji cha mbelei katika umri wa miaka 14 nlkua darasa la saba katika shule ya msingi namba baada ya kuhitimu nlifaulu na kujiunga na kidato cha kwanza mbelei sekondari nikiwa na miaka 15 ambapo ni mwaka 2017 nliendelea mbele na kuhitimu kidato cha nne mwaka 2020 miaka hyo yote niliishi na wazazi wangu mkoani tanga nlianza kujishughulisha na kilimo cha mbogamboga na ufugaji wa kuku baada ya muda nlianza kufany bia

Anglais

lang's name is aisha haji mdimu is a tanzanian and from the tanga region of lushoto district in the village of mbelei at the age of 14 nlkua seventh grade in primary school number after graduating i graduated and joined form 1 at 15 years old which is 2017 i went ahead and graduated form 4 in 2020 all the years i lived with my parents in tanga region i started to engage in agriculture. vegetables and chicken farming after a while i started to make beer

Dernière mise à jour : 2023-12-18
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

leo, najisikia furaha sana na bahati ya kushiriki kwamba mama yangu smt. heeraba anaingia mwaka wake wa mia moja. huu utakuwa ni mwaka wake wa kuzaliwa wa karne. ikiwa baba yangu angekuwa hai, yeye pia angesherehekea siku yake ya kuzaliwa ya 100 wiki iliyopita. 2022 ni mwaka maalum kama mwaka wa centenary wa mama yangu unaanza, na baba yangu angemaliza yake.

Anglais

today, i feel extremely happy and fortunate to share that my mother smt. heeraba is entering her hundredth year. this is going to be her birth centenary year. if my father had been alive, he too would have celebrated his 100th birthday last week. 2022 is a special year as my mother’s centenary year is starting, and my father would have completed his.

Dernière mise à jour : 2022-06-20
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

@katebomz: nimalizie kwa —> #tanzania katika miaka 50 nini unacho cha kuonyesha? imeandikwa na @asalim86 http://vijana.fm/2011/12/07/ni-hamsini-ni-hamsini-tanzania-at-50-what-do-we-have-to-show-for-it/ nimehifadhi andiko bora zaidi hatimaye!

Anglais

@katebomz: my finale goes to —> #tanzania at 50 what do we have to show for it? by @asalim86 http://vijana.fm/2011/12/07/ni-hamsini-ni-hamsini-tanzania-at-50-what-do-we-have-to-show-for-it/ i saved best write up 4 last!

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
8,952,014,424 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK