Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.
Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
zombi akisikiliza houmani.
an alien listening to houmani.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
houmani lina maana ya mtu anayeishi katika eneo la wachapa kazi. eneo la tabaka la wachapa kazi nchini tunisia hukulikana kama houma...
houmani refers to someone living in a working class area.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
kwa lahaja ya watu wa tunisia,msemo houmani unatokana na neno houma, ambalo lingeweza kutafsiriwa kama 'mtaa wa wachapakazi'.
in the tunisian dialect, the adjective houmani derives from the noun houma, which could be translated to a 'working-class district'.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
houmani, wimbo wa kawaida lakini wenye jina la ajabu na kiapnde cha video ambacho hakikuchukua gharama kubwa kuandaliwa, kimezua mjadala mkubwa katika wiki za hivi karibuni. kwa haraka, wimbo huu umeshajikita katika utamaduni uliozoeleka kiasi cha kuzua majibizano na mijadala kadhaa.... suala la tabaka la wafanyakazi dhidi ya lile la watu matajiri, pamoja na kuwa halijazungumzwa sana katika wimbo huu, ni miongoni mwa mijadala inayoendelea kwa kiasi kikubwa.
houmani, a simple song with a strange title and a video clip that did not cost much, has generated big debates these recent weeks.the song has quickly blended into the popular culture generating several conversations and debates...the issue of working class neighborhoods vs rich neighborhoods, though not directly tackled in the song, is very present.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :