Vous avez cherché: ili kuwa mukaji amateseka (Swahili - Anglais)

Traduction automatique

Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.

Swahili

English

Infos

Swahili

ili kuwa mukaji amateseka

English

 

De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

sasa huyu bwana anajaribu kufanya nionekane nalipwa ili kuwa mwanaharakati.

Anglais

and he insinuates i am paid to be an activist.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

alifanya hivyo mwanzoni ili kuwa na mwanzo mzuri na kwa kila uungwaji mkono aliostahili.

Anglais

she had to in order to have a nice start, with all the deserved support.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

hivi tunatakiwa kuchangia msala ili kuwa na hisia za umoja baina ya wanafunzi na walimu?

Anglais

do we have to share the toilet to have a feeling of oneness between students and teachers?

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

ili kuwa na mafanikio, hata hivyo, kwanza ni lazima wapate njia ya kuwashawishi raia juu ya umuhimu wake.

Anglais

in order to be successful, however, they must first find a way to convince citizens of their usefulness.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

haitoshi kubandika mabango ya ernesto che kwenye kuta zake ukadhania kutafakari ama kuelewa kile kinachostahili kufanywa ili kuachana na yote ili kuwa na siku njema.

Anglais

it's not enough to brandish posters of ernesto che on our walls to pretend to imagine or understand what it takes to lay down absolutely everything for a better day.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

tunaamini kuwa ili kuwa na jamii za kiraia endelevu ndani ya irani tunahitaji kuwa na vyombo vya habari vya kidemokrasia vilivyo ndani ya na kwa ajili ya irani.

Anglais

we believe that for a sustainable civil society in iran we need sustainable democratic media in and for iran.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

ingawa kwa umbo anaonekana ni mtu mzima, bado hajakomaa kiakili au kijamii ili kuwa mtu mzima, na anaondelea kuusaka umaarufu kama msichana wa miaka 10.

Anglais

although he is physically an adult, he has not matured mentally or sociologically to becoming an adult, and continues to crave attention like a 10-year old girl.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

ili kuwa na afya njema na ustawi na uwezo wa kutulia tena, ni muhimu kufahamu walipo ndugu na jamaa, usalama wao, na uwezo wao wa kuendelea kuwasiliana.

Anglais

for refugee's health and well-being and ability to resettle, it is vital to know the whereabouts of relatives, their safety, and their ability to remain in contact.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

musa akasema: wewe unajua bila ya shaka kuwa haya hakuyateremsha ila mola mlezi wa mbingu na ardhi ili kuwa ni ushahidi wa kuonekana. na hakika mimi bila ya shaka nakuona wewe, firauni, kuwa umekwisha angamia.

Anglais

[moses] said, "you have already known that none has sent down these [signs] except the lord of the heavens and the earth as evidence, and indeed i think, o pharaoh, that you are destroyed."

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

haya, ili kuwa mkweli kabisa, na kutoa maoni yangu manyenyekevu, hasa bila kumuudhi yeyote ambaye anafikiria tofauti na upande wangu wa mtazamo, lakini pia kwa kuchunguza suala hili katika mtazamo tofauti na bila ya kuwa nikilaumu maoni ya mtu mwingine na kwa kujaribu kuthibitisha maoni yangu kwa mifano hai, na kwa kuzingatia maoni halali ya kila mchangiaji, ninaamini kwa dhati kwamba nimesahau kabisa kile nilichokuwa nataka kusema.

Anglais

well to be perfectly honest, in my humble opinion, of course without offending anyone who thinks differently from my point of view, but also by looking into this matter in a different perspective and without being condemning of one’s view and by trying to make it objectified, and by considering each and every one’s valid opinion, i honestly believe that i completely forgot what i was going to say.

Dernière mise à jour : 2019-11-04
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Certaines traductions humaines peu pertinentes ont été masquées.
Affichez les résultats peu pertinents.

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,770,622,774 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK