Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
juma hili, the intercept ilibaini mfumo wa maswali kwamba serikali ya marekani inawahamasisha watu wa ustawi wa jamii, walimu na polisi kutumia maswali fulani fulani ili kuwabaini magaidi.
this week the intercept revealed a rating system that the us government encourages social workers, teachers and law enforcement workers to use to detect potential terrorists.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
chloroquine imependekezwa na wizara ya afya huko uchina, korea kusini na italia kwa matibabu ya covid-19, ingawa mashirika haya na cdc ya marekani ilibaini madhara kwa watu wenye ugonjwa wa moyo au kisukari.
chloroquine has been recommended by chinese, south korean and italian health authorities for the treatment of covid-19, although these agencies and the us cdc noted contraindications for people with heart disease or diabetes.
Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
teknolojia ya twita ya @rugovedits, ambayo bila kuongozwa kufuatilia uhariri wowote unaofanywa kwenye kurasa za wikipedia kupitia alama za utambulisho wa kompyuta za serikali ya urusi, ilibaini majaribio saba tofauti yaliyofanywa na kompyuta za "mashushushu" wa fso asubuhi hii kuhakikisha kuwa neno "waasi" linabaki kwenye kumbukumbu.
the twitter bot @rugovedits, which automatically logs all wikipedia edits made from russian government ip addresses, caught five separate attempts by an fso computer this morning to make the "rebels" language stick.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent