Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.
De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :
Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
imetengenezwa na hugh d'andrade, na kuchanganywa na hisham almiraat.
created by hugh d'andrade, remixed by hisham almiraat.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
filamu hiyo imetengenezwa na mtayarishaji huru wa filamu wa kiingereza, ross harrison
the film was made by independent british filmmaker ross harrison
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
upelelezi uliosababisha kukamatwa kwa mtawa huyo ulitokana na kusambazwa kwa picha hiyo ya utupu ya video kwa watu wengi hasa kupitia zana za bluetooth za kwenye simu za mkononi.
the investigation which led to an arrest was followed by an enormous sharing of that nude video via bluetooth from phone to phone.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
blogu yenye jina la madhara kwa raia wakati wa mapambano mjini gaza na kusini mwa israeli imetengenezwa na asaasi za haki za kibinaadamu za kiisraeli ili kuorodhesha matukio ambayo hayaandikwi na vyombo vikubwa vya habari.
a blog called harm to civilians during the fighting in gaza and southern israel has been set up by israeli human rights groups to document events that are not being covered by the media.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
akaunti ya twita iliyogundua matumizi ya mtandao wa intaneti yaliyofanywa na vgtrk, @rugovedits, imetengenezwa na zana (bot) nyingine, @congressedits, ambayo hufuatilia uhariri unaofanywa na wikipedia kutoka kwenye kompyuta za bunge la marekani.
the twitter account that discovered vgtrk’s internet activity, @rugovedits, is modeled on another bot, @congressedits, which tracks wikipedia edits made from ip addresses in the us congress.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Certaines traductions humaines peu pertinentes ont été masquées.
Affichez les résultats peu pertinents.