Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
pamoja na kukutana na viongozi wa indonesia, clinton alipata muda wa kutembelea makazi ya watu masikini mjini jakarta.
aside from meeting the leaders of indonesia, clinton found the time to visit a slum community in jakarta.
kama mkazi wa jakarta niliyozoea kukwama kwenye foleni za magari, huwa nafadhaika kama barabara zikiwa tulivu na zenye watu pungufu.
as a jakartan who used to stuck in traffic, i tend to be panicky if the streets are quiet and deserted look-alike.
umeshahamu namaanisha nini majira ya saa 8 za mchana leo, iliondokea kuwa ni kuwasili kwa katibu wa mambo ya nje wa marekani mjini jakarta ndio kulikosimamisha magari.
then you must know what i mean around 2 pm today, it turned out to be us secretary of states hillary clinton's arrival in jakarta that stopped the traffic!
raia wa indonesia walikusanyika katikati ya jakarta, mji mkuu wa nchi hiyo, kuwasha mishumaa 1,000 kupinga mashambulio ya israel katika ukanda wa gaza.
scores of indonesians gather in central jakarta, the country's capital, to light 1,000 candles in protest to the israeli airstrikes in gaza strip.
safi sana oplet: klabu ya mashabiki wa obama wanafanya maandamano kumopinga hillary clinton mjini jakarta, wanasema hawampendi tangu wakati wa kugombea nafasi ya kugombea urais.
mirageinblue: saw hillary clinton at the lobby. awesome oplet: obama fans club stages protest against hillary clinton in jakarta, saying they're just not that into her since presidential race
"kwa kweli nafikiri anaonekana kijana na mrembo, pengine inatokana na tabasamu lake alilotoa wakati wa ziara yake hapa… watu wengine katika kipindi cha maongezi cha televisheni nilichokitaja kabla walisema kwamba watu wa jakarta walijawa jazba za bure kuhusu ziara yake.
"i really think that she looks younger and more goodlooking, maybe it was because of her constant smile she gave during her visit here...some people on some boring tv talkshow mentioned previously that jakarta is a little overreacted with her visit.