Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
jasiri
brave
Dernière mise à jour : 2021-05-07
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
mtafutaji jasiri
what a problem
Dernière mise à jour : 2019-12-30
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
maana ya neno jasiri
maana ya neno brave
Dernière mise à jour : 2017-09-18
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
kweli jasiri haachi asili
brave leaves no origin
Dernière mise à jour : 2022-03-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
maana ya neno jasiri kwa kiswahili
the meaning of the word brave in swahili
Dernière mise à jour : 2020-09-12
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
msichana huyu jasiri na asiye na woga amechukua nafasi ya baba yake aliyefariki mapema mwaka huu.
the outspoken youngster replaces her father who died earlier this year.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
nina hakika ataendelea kuwa imara na jasiri, lakini nina wasiwasi na usalama wake baada ya hapa.
i'm sure she will stand firm and solid, but i'm concerned about her safety afterwards.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
jina lake ni marisol valles garcía na amepewa jina la mwanamke jasiri kuliko wote nchini mexico" .
this post is part of our special coverage mexico's drug war. her name is marisol valles garcía and she has been called the "bravest woman in mexico" .
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent
lakini kama alivyokuwa jasiri dhidi ya watesi wake, huruma yake kwa wandugu wake na watu wake ilikuwa kubwa kupita kiasi.
but as tough as was with his oppressors, his tenderness towards his comrades and his people was boundless.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
win tin alikuwa mwenye nia, jasiri katika kukosoa serikali hadi mwisho, na dhamira ya kuepuka vikwazo vyote vya burma kwa safari ndefu ya demokrasia.
win tin was a keen, unrelenting government critic to the very end, intent on taking down all the obstacles on burma’s long road to democracy.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
muangalie huyu simba-jike jasiri wa ki-irani, kwanza anapiga teke halafu anampiga teke la pembeni askari mtuliza ghasia anayefanana na mtu wa kale aliyebeba rungu!
look at this brave iranian lioness, first she swing kicks and then she side kicks the neanderthal truncheon wielding riot guard!
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
reeyot, mwalimu wa kiingereza, alipokea tuzo ya unesco-guillermo cano ya uhuru wa habari duniani, tuzo ya hellman/hammett, na tuzo ya mwandishi jasiri ya mfuko wa habari wa kimataifa kwa wanawake.
reeyot, an english teacher, is the recipient of the unesco-guillermo cano world press freedom prize, the hellman/hammett award, and the international women's media foundation courage in journalism award.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence: