Vous avez cherché: je, 1 huwa ni wazi kwa kila mtu? (Swahili - Anglais)

Traduction automatique

Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.

Swahili

English

Infos

Swahili

je, 1 huwa ni wazi kwa kila mtu?

English

 

De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

ni konde kubwa kwa kila mtu alieangamiza wairaki.

Anglais

it’s a great punch to the very people that destroyed the individual iraqi.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

yafaa iwe mfano kwa kila mtu.

Anglais

this should be a model for all.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

tukio hili ni wazi kwa wote lakini nafasi ni chache.

Anglais

the event is open to all but seats are limited.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

basi, akawaambia, "nendeni ulimwenguni kote mkahubiri habari njema kwa kila mtu.

Anglais

and he said unto them, go ye into all the world, and preach the gospel to every creature.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

inashangaza kuona guy scott anatuma maombi ya urafiki kwa kila mtu kwenye mtandao wa facebook.

Anglais

the all (whole lot) of guy scott to be sending friendship requests to every jim and jack on facebook.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

wakati siku kuu zina maana inayofanana na utamaduni uleule katika nchi zote za kiislamu, maadhimisho yenyewe mara nyingi huwa ni ya aina ya tofauti kwa kila sehemu.

Anglais

while the holiday shares the same meaning and traditions across the muslim world, the celebrations are often uniquely local.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

muwe na wema uleule kwa kila mtu. msijitakie makuu, bali jishugulisheni na watu wadogo. msijione kuwa wenye hekima sana.

Anglais

be of the same mind one toward another. mind not high things, but condescend to men of low estate. be not wise in your own conceits.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

tukisingiziwa, tunajibu kwa adabu. mpaka sasa tumetendewa kama uchafu wa dunia; na kwa kila mtu sisi ni takataka!

Anglais

being defamed, we intreat: we are made as the filth of the world, and are the offscouring of all things unto this day.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

fursa ya kumwona kumwona papa francis alipoanza ziara yake ya ki-papa nchini ufilipino haikuwa kwa wazi kwa kila m-filipino aliyetaka.

Anglais

not everyone in the philippines was able to see pope francis when he began his current visit to the philippines.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

halafu, jambo la kuvutia, licha ya mkakati wa kutumia vyombo vya habari vya mtandaoni kukosoa uchujaji habari, moja ya majimbo yanayo ongozwa na upande wa upinzani liliamua, kwa hakika, kupeleka bungeni muswada wa sheria ya uhuru wa habari ili kuweka wazi taarifa kwa manufaa ya umma kwa kila mtu.

Anglais

interestingly, apart from online media strategy to criticize censorship, one opposition-led state actually took the unprecedented move to table the freedom of information bill to disclose information of public interests to every individual.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

santiago alieleza kuwa uamuzi wake ulizingatia uhusika wa oronoz rodríguez katika kashfa za siku za nyuma, ambapo inadaiwa akiwa mkurugenzi wa idara ya sheria ya manispaa ya san juan alitetea uamuzi wa meya wa kuruhusu kukaguliwa kwa kila mtu ambaye angehudhuria sherehe za mtaa wa san sebastian.

Anglais

santiago explained that her decision was based on oronoz rodríguez' involvement in a controversial case, when as the director of san juan's municipal legal division she defended the mayor's decision to impose searches on every individual who would attend this year's san sebastian street festival.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

anaongeza zaidi kuwa: “pindi tovuti ikianza kufanya kazi na kwa kutumia idadi nzuri ya zana au miundo, nitaufanya msimbo kuwa wa wazi kwa kila mtu na kuwakaribisha waendelezaji na waandishi wa habari kuuimarisha ili waweze kutengeneza matoleo yao ya tovuti hii.

Anglais

and he adds: "once the site is working with a healthy amount of applications, i will make the code open source and invite developers and journalists to improve it so they can launch their own versions of the site".

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

maktaba za umma zaweza kujifunza katika uhuru huu wa kubadilishana taratibu za ubunifu zilizofanywa ndani ya jamii wanazozihudumia, na hii inaweza kuwawezesha kwenye huduma za habari za mitaa, zilizoundwa kwa ushirikiano, zilizo shirikishwa, zilizoonekana na kupatikana kwa kila mtu ili maktaba nyingine, mashirika, vikundi vya utafiti na watu binafsi waweze kuwa na uwezo wa kuiga hayo, kuziboresha na kukabiliana nazo kwa mahitaji yao wenyewe na vifaa muhimu, hivyo kwa wakati wanaweza kutoa ule uzoefu wa awali na kutoa vyanzo mbalimbali kwa yale wamejifunza.

Anglais

public libraries can learn from these liberties to share the creative processes carried out within the communities they serve, and this can empower local information service, co-created, shared, noticed and available to everybody so other libraries, organizations, study groups and individuals may be able to replicate them, improve them and adapt them to their own needs and necessities, so in tiime they can give back those experiences to the original node and diversify what they have learned.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

kikundi hicho cha kiislam cha hefazot kilitangaza madai yao 13 wakati walipoandamana mnamo tarehe 6 aprili, 2013 huko dhaka, maandamano yaliyokuwa yanashinikiza adhabu kali kwa vitendo vya kukashifu dini, kuifanya elimu ya dini ya kiislam kuwa ya lazima kwa kila mtu, na kusitishwa kwa “vitendo vyote vya utamaduni usiokubalika kama vile kujipamba kupita kiasi, kuvaa kikahaba, tabia mbovu, utamaduni wa kuchangamana kwa jinsia, kuwasha mishumaa kwa kisingizio cha uhuru binafsi wa mtu na uhuru wa kuongea."

Anglais

hefazot islam introduced their 13-point demand during the march on april 6, 2013 in dhaka, which would enforce capital punishment for blasphemy, make islamic education compulsory, and see the the end of "all alien cultural practices like immodesty, lewdness, misconduct, culture of free mixing of the sexes, candle lighting in the name of personal freedom and free speech."

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,767,301,451 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK