Vous avez cherché: kimaisha (Swahili - Anglais)

Traduction automatique

Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.

Swahili

English

Infos

Swahili

kimaisha

English

 

De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

c/asili na maana ya jina la henry kimaisha

Anglais

c / origin and meaning of the name henry in life

Dernière mise à jour : 2021-11-19
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

mteja hajaanza kujikimu kimaisha he is just 19 na atakua halipii yeye

Anglais

the client has not started earning a living he is just 19 and will be paying for it

Dernière mise à jour : 2020-03-04
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

mabadiliko ya kijamii yalianzishwa, yaliyowasaidia watu masikini kuimarisha hali zao za kimaisha na mipango ya shule.

Anglais

social reforms were established, help to the poor increased in housing benefits and school programmes.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

wahindi wengi zaidi sasa wanaishi kwenye familia ndogo, na vijana wanahama kutafuta fursa bora zaidi za kimaisha.

Anglais

more and more indians are living in smaller family units, and younger people are migrating in search of better opportunities.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kipindi cha milenia mpya, tembo wamekuwa wakitumika kama sehemu ya kujipatika kipato, wamiliki wa tembo hawana budi kuwatumikisha tembo wao katika siku saba za wiki ili kujikimu kimaisha.

Anglais

the new millennium has bought with it the burden of financial gain, with mahouts (elephant owner) having to work their elephants seven days a week to earn a living.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

hivi karibuni nimehama kutoka mji mmoja kwenda mwingine na mara nyingi nimekuwa sipati huduma ya intaneti kwa miezi 3 iliyopita, na vilevile kutengana na mwenzi wangu wa kimaisha kwa zaidi ya mwaka.

Anglais

i recently moved cities and have been largely without the internet for the past 3 months as well as splitting up with my partner of over a year.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

hata hivyo, raia wa guinea wanaridhika na hali halisi ya changamoto za kimaisha zinazowakabili, hatari zilizopo, majonzi ikiwa ni pamoja na mataifa mengine duniani kuingalia guinea kwa tahadhari kubwa.

Anglais

guinée's population, however, is coping valiantly with life's daily challenges, despite the risks, the sorrows, and the suspicion from the rest of the world.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

blogu bora ya burudani - ameyawdebrah.com blogu bora ya uanaharakati - adventures from the bedrooms of african women blogu bora ya uandishi wa habariza kiraia - circumspect blogu bora ya masuala ya kimaisha - ganyobinaa.com blogu bora ya ubunifu, fasisi, hadithi fupi, ushairi - ganyobinaa.com blogu bora ya picha - dirisha la ghana na afrika – nana kofi acquah tuzo ya mtu maarufu anayeonekana zaidi kwenye mitandao ya kijamii - @mutombodapoet tuzo ya maudhui bora halisi - kodjo deynoo poetry blogu bora- adventures from the bedrooms of african women tuzo ya heshima kwa kuwa mfano wa harakati bora za kiraia mtandaoni - ghana decides

Anglais

best showbiz and entertainment blog - ameyawdebrah.com best activist blog - adventures from the bedrooms of african women best citizen journalism blog - circumspect best lifestyle blog - ganyobinaa.com best creative, literary, short stories, poetry blog - ganyobinaa.com best photo blog - a window to ghana and africa – nana kofi acquah award for personality with the best social media presence - @mutombodapoet best original content goes - kodjo deynoo poetry best blog - adventures from the bedrooms of african women honorary award for exemplary social media activism - ghana decides

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,796,573,996 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK