Vous avez cherché: kisaudi (Swahili - Anglais)

Swahili

Traduction

kisaudi

Traduction

Anglais

Traduction
Traduction

Traduisez instantanément des textes, des documents et des voix avec Lara

Traduire maintenant

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

uharibifu wa bwawa la mariba limejengwa karne ya nane (kk) na limelengwa na ndege za kijeshi za kisaudi

Anglais

in a follow up tweet, albukhaiti posts a photograph of ruins, of what he describes as the dam, which dates back to the 8th century bc and is considered the oldest known dam in the world:

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

msomi mmoja wa kisaudi alitoa wito wa kuifuta hija ikiwa mlipuko ungekuwa mkubwa zaidi, lakini pendekezo hilo lilizimwa na wenzake.

Anglais

one saudi scholar called for haj to be canceled if there were a severe outbreak, but that proposal was shot down by others.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

kuna taarifa zisizodhibitishwa zinazosema kwamba vikosi vya pamoja vya kisaudi, ambavyo vimekuwa vikiishambulia yemen kwa mabomu kwa zaidi ya miezi miwili sasa vimelilenga bwawa la marib, moja wapo ya maajabu makuu ya katika ulimwengu wa ubunifu wa kale wa kiufundi.

Anglais

unconfirmed reports say that saudi coalition forces, which have been bombing yemen for more than two months have targeted the marib dam, one of the engineering wonders of the ancient world.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

na shirika la haki za kiraia na kisiasa la kisaudi (acpra) lilichapisha tamko lililotaka kuachiwa kwa wafungwa wote wa dhamira na pia kuwepo kwa mjadala wa kitaifa wenye usawa kati ya serikali kwa upande mmoja na wawakilishi wa wananchi waliochaguliwa kwa kura kwa upande wa pili.

Anglais

and the saudi civil and political rights association (acpra) published a statement calling for the release of all prisoners of conscience and for a national dialogue between the government and elected representatives of the people as equals.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

mtafiti wa kisaudi katika sheria za kiislamu (sharia) amegundua kuwa kuna uwezekano wa kuwazuia baadhi ya mahujaji (wale ambao walishahiji kabla yaani, mahujaji wa ‘kurudia’) hasa wanaotoka maeneo ambayo kwa sasa yanatishiwa na mlipuko wa mafua ya nguruwe.

Anglais

a saudi researcher in shariah law find that there is precedent to ban umrah pilgrims (those who undertake the non-obligatory, ‘lesser’ pilgrimage) who come from areas beset with the a/h1n1 or swine flu virus.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
8,911,019,844 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK