Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.
Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
kipindi cha wastani cha kuatamia kwake kilikuwa siku 4.8 (3.0-7.2).
the average incubation period was 4.8 (3.0-7.2) days.
Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
hata hivyo, uchunguzi kwenye visa 1,099 unaonyesha kwamba kipindi cha kuatamia kwake kilikuwa siku 3 kwa wastani na kilikuwa kati siku 0 hadi 24.
however, a study on 1,099 cases demonstrates that the incubation period was 3 days on average and ranged from 0 to 24 days.
Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
ni muhimu kwa mamlaka ya afya kurekebisha muda faafu wa karantini kulingana na kipindi sawa zaidi cha kuatamia, hivyo kuzuia watu walioambukizwa wasioonyesha dalili kusambaza virusi kwa wengine.
it is very important for health authorities to adjust the effective quarantine time based on the most accurate incubation period, thus preventing infected but symptomless people from transmitting the virus to others.
Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
kwa hivyo, wagonjwa walioambukizwa katika awamu ya mapema au kipindi cha kuatamia wanaweza kuzalisha kiwango kikubwa cha virusi wakati wa shughuli za kila siku, kusababisha ugumu mkubwa kwa udhibiti wa janga.
therefore, infected patients at the early phase or incubation period can produce a large amount of virus during daily activities, causing great difficulty for the control of the epidemic.
Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
kipindi cha wastani kilichokadiriwa cha kuatamia kwa sars-cov-2 ni siku 1-14, mara nyingi siku 3-7 kulingana na utafiti wa visa 425 vya kwanza kule wuhani.
the estimated mean incubation period of sars-cov-2 is 1-14 days, mostly 3-7 days based on a study of the first 425 cases in wuhan.
Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :