Vous avez cherché: kujikita (Swahili - Anglais)

Traduction automatique

Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.

Swahili

English

Infos

Swahili

kujikita

English

 

De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

changamoto ni namna ya kuachana na ushabiki wa kisiasa na kujikita kwenye masuala ya kiuchumi.

Anglais

the challenge is to get rid of the political side of the equation and to focus on the economy.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

hata hivyo maendeleo hayo bado hayajaenea katika sekta zote za soko na pia mara nyingi inaonekana kujikita tu katika eneo dogo la viwanda huduma na biashara.

Anglais

however this development has not spread in all market sectors and too often seems to be limited to service industries and trade.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

jumla ya yote, makala chache zimejaribu kuondoka kutoka habari za juu juu na kujikita kwenye masuala mazito ya hali ya kisiasa ya nchi hiyo na mana ya matokeo haya ya uchaguzi.

Anglais

the little coverage it does garner often assumes readers are completely ignorant and takes great pains to emphasize dismal statistics about rates of hiv/aids and poverty. overall, few articles have attempted to move beyond superficialities and actually delve into the complexities of the local political atmosphere and the implications of the election outcome.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

japokuwa hapajakuwa na utafiti wowote, mpaka sasa, ambao umethibitisha kuwa uhamiaji umekuwa na mchango wowote muhimu katika tatizo la ukosefu wa ajira, imani hii imeendelea kujikita katika fikra za watu wengi.

Anglais

even though there hasn't been a single study, so far, that has proved that immigration has had in fact a meaningful role in the employment crisis, this belief remains strongly anchored in the minds of many.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

“baada ya siku chache wakati watoa maoni wakisitasita kutoa maelezo yanayoshindana, vyombo vya habari vinaanza kujikita katika maelezo kwamba ilikuwa ni unyanyasaji wa kirangi/kiasili/kidini ndiko kulikomsukuma nidal kupata ukichaa.

Anglais

"after a few days while the commentariat hesitated before competing narratives, the media are settling on the explanation that it was ethnic/racial/religious abuse that drove nidal crazy.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
8,041,694,706 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK