Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
kwa hiyo, mwenye kunena lugha ngeni na aombe apate uwezo wa kuzifafanua.
wherefore let him that speaketh in an unknown tongue pray that he may interpret.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
mwenye kunena lugha ngeni hasemi na watu bali anasema na mungu. yeye hunena kwa nguvu ya roho mambo yaliyofichika.
for he that speaketh in an unknown tongue speaketh not unto men, but unto god: for no man understandeth him; howbeit in the spirit he speaketh mysteries.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
mwenye kunena lugha ngeni anajijenga mwenyewe. lakini mwenye kipaji cha kutangaza ujumbe wa mungu, analijenga kanisa.
he that speaketh in an unknown tongue edifieth himself; but he that prophesieth edifieth the church.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
imeandikwa katika sheria: "bwana asema hivi: kwa njia ya wenye kunena lugha ngeni, na kwa midomo ya wageni, nitasema na watu hawa, hata hivyo, hawatanisikiliza."
in the law it is written, with men of other tongues and other lips will i speak unto this people; and yet for all that will they not hear me, saith the lord.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent