Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
kupandishwa
karubandika
Dernière mise à jour : 2020-04-28
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
inaonekana kuwa kugombea urais siyo sababu pekee ya kupandishwa cheo hiki.
it seems that the presidential bid isn't the only reason for this promotion.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
baadhi ya watu wanaona kuwa, kupandishwa cheo huku ni namna ya ya haraka ya sissi kuelekea kugombea urais.
some suggest that this promotion is a fast-track to sissi's presidential bid.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
rocky intan aneleza kwa nini kupandishwa kwa kima cha chini cha mshahara nchini indonesia kutaathiri uchumi wa nchi hiyo:
rocky intan explains why a minimum wage hike in indonesia will harm the country's economy:
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
wahuni hao walifunga lango kuu la kuingilia kwenye jengo la gazeti hilo mnamo tarehe 13 oktoba na kuzuia magazeti kupandishwa kwenye magari ya kusambaza.
they blocked the entrance of apple daily on october 13 and obstructed the papers from being loading onto the trucks.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
katika video hii iliyotengenezwa na kupandishwa kwenye mtandao wa youtube na transhumanism inaonyesha kuwa kunakosekana heshima ya msingi kwa wanawake katika jamii ya kihindi iliyokithiri mfumo dume.
in this moving video created and uploded to youtube by transhumanism.in it is revealed that there is lack of basic respect for women in indian patriarchal society.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
mnamo jumanne ya oktoba 9, 1962, uganda ilijitwalia uhuru wake wakati bendera ya uingereza iliposhushwa, na bendera ya uganda kupandishwa wakati huo wa-ganda wenye furaha na matumaini mapya wakiimba wimbo wa taifa la uganda.
on tuesday 9 october, 1962, uganda got its independence as the union jack flag of england was lowered, the ugandan flag raised whilst jubilant ugandans sang the uganda national anthem.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence: