Vous avez cherché: kupendekezwa (Swahili - Anglais)

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

kupendekezwa

Anglais

recommended

Dernière mise à jour : 2021-04-26
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

blogu zinaweza kupendekezwa kwa kutumia kiungo hiki.

Anglais

blogs can be submitted using this link.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

programu nyingi zilitengenezwa au kupendekezwa, na msaada rasmi wa serikali katika wilaya na maeneo kadhaa.

Anglais

numerous applications were developed or proposed, with official government support in some territories and jurisdictions.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

taasisi hii mara kadhaa ilimpendekeza mahatma gandhi, ambaye hata mara moja hakufanikiwa kutangazwa mshindi wa tuzo ya amani ya nobeli, pamoja na kupendekezwa kuigombea mara tano kati ya miaka ya 1937 na 1948.

Anglais

the organisation unsuccessfully nominated mahatma gandhi, who never won the nobel peace prize, although he was nominated five times between 1937 and 1948.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

programu tofauti ya simu za rununu zimetekelezwa au kupendekezwa kwa matumizi ya hiari, na kufikia aprili 7, 2020, zaidi ya vikundi kumi na mbili ya wataalam walikuwa wanaunda suluhisho yanayolinda faragha, kama vile kutumia bluetooth kutuma umbali wa mtumizi na simu za rununu zingine.

Anglais

various mobile apps have been implemented or proposed for voluntary use, and as of april 7, 2020, over a dozen expert groups were working on privacy-friendly solutions, such as using bluetooth to log a user's proximity to other cellphones.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

hussein a a, alichuguza dawa kadhaa zilizoteuliwa, kisha akaboresha na kuchambua mfanano wao na mifupa na dawa za kiwango cha juu zilizoidhinishwa ili kuharakisha maendeleo ya dawa inayowezekana ya kuzuia sars-cov-2 na uchunguzi wake wa dawa kupendekezwa katika muundo wa uchunguzi wa kliniki.

Anglais

hussein a a, et al studied several candidate compounds which then optimized and analyzed for their skeleton similarity with the highest similar approved drugs in order to accelerate a potent anti-sars-cov-2 drug development in his preclinical study to be recommended in a clinical study design.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,761,434,330 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK