Vous avez cherché: kusafiri kwa meli (Swahili - Anglais)

Traduction automatique

Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.

Swahili

English

Infos

Swahili

kusafiri kwa meli

English

 

De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

serikali za marekani na canada zinapendekeza kuepuka kusafiri kwa meli ya abiria.

Anglais

the u.s. and canadian governments recommend avoiding travel by cruise ship.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

qa ilinifanyia utaratibu wa kusafiri kwa ndege ya saa 5.25

Anglais

qa kindly rebooked me on 11:25pm flight

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

vikwazo kwa meli za marekani na israeli pekee…

Anglais

only the us and israeli ships...

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

ndege ya shirika la ndege la malaysia iliyopotea ndicho hasa kinachonifanya niogope kusafiri kwa ndege

Anglais

thoughts with all at this hard time. — peter mcginley (@petermcginley) march 8, 2014 there are reports that malaysia plane has crashed but no official confirmation. http://t.co/te3hwmenbt #breakingnews — christl dabu (@christljzdabu) march 8, 2014 the malaysia airlines' flight that disappeared is exactly why i'm terrified of flying — jonathan woelk (@jonathanwoelk) march 8, 2014

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

baada ya hapo walilazimishwa kusafiri kwa gari la polisi na kutelekezwa jangwani baada ya usiku wa manane.

Anglais

they were then forced to ride a police car and thrown in the desert sometime after midnight.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

muda mrefu ulikuwa umepita, na hata siku ya kufunga ilikuwa imekwisha pita. sasa ilikuwa hatari sana kusafiri kwa meli. basi, paulo aliwapa onyo:

Anglais

now when much time was spent, and when sailing was now dangerous, because the fast was now already past, paul admonished them,

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

ndege nyingi zikiwa zimeghairishwa, maonyo kutolewa, na vikwazo kuwekwa, kusafiri kwa ndege wakati huu wa virusi vya korona kuna changamoto.

Anglais

with lots of flights canceled, warnings issued, and restrictions imposed, flying in the time of coronavirus can be a challenge.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

kutoka troa, tulisafiri kwa meli moja kwa moja mpaka samothrake, na kesho yake tukatia nanga neapoli.

Anglais

therefore loosing from troas, we came with a straight course to samothracia, and the next day to neapolis;

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

kutoka huko walisafiri kwa meli wakarudi antiokia ambako hapo awali walikuwa wamewekwa chini ya ulinzi wa neema ya mungu kwa ajili ya kazi ambayo sasa walikuwa wameitimiza.

Anglais

and thence sailed to antioch, from whence they had been recommended to the grace of god for the work which they fulfilled.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

barakoa ya kimatibabu hupendekezwa kwa wale ambao huenda wameambukizwa, kwa vile kuvaa barakoa huweza kudhibiti kiasi na umbali wa kusafiri kwa matone ya kupumua inayosambazwa unapozungumza, kupiga chafya, na kukohoa.

Anglais

surgical masks are recommended for those who may be infected, as wearing a mask can limit the volume and travel distance of expiratory droplets dispersed when talking, sneezing, and coughing.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

paulo alikuwa amekusudia kuendelea na safari kwa meli bila kupitia efeso ili asikawie zaidi huko asia. alikuwa na haraka ya kufika yerusalemu kwa sikukuu ya pentekoste kama ingewezekana.

Anglais

for paul had determined to sail by ephesus, because he would not spend the time in asia: for he hasted, if it were possible for him, to be at jerusalem the day of pentecost.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

jamii hizi zitaathirika sana kiuchumi ikiwa taasisi zitabaki zimefungwa wakati huo: "miji midogo zinazotegemea wanafunzi wa taasisi kusaidia uchumi wa mitaa na kufanya kazi katika biashara mitaani zimeathirika hasa na kufungwa kwa shule na kusafiri kwa wanafunzi kutoka vyuoni.

Anglais

these communities will suffer a lot of economic damage if the colleges remain closed at that time."small towns which rely on college students to support the local economy and provide labour to local businesses are especially impacted by school closures and the exodus of students from campus.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,781,527,065 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK