Vous avez cherché: kutokuwepo (Swahili - Anglais)

Traduction automatique

Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.

Swahili

English

Infos

Swahili

kutokuwepo

English

 

De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

nikisema kutokuwepo usawa, wewe unasema…?

Anglais

if i say inequality, you say…?

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

neno kutokuwepo usawa linaweza kufananishwa na mengi.

Anglais

the word inequality may bring many associations.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

hatua gani zichukuliwe kupunguza hali hii ya kutokuwepo kwa usawa?

Anglais

what measures can be taken to reduce these inequalities?

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

mgongano wa jumbe hizo umepelekea kutokuwepo kwa uhakika na kuchanganyikiwa.

Anglais

the clash of messages has led to uncertainty and confusion.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

ni taswira akisi ya kutokuwepo kwa demokrasia na kushindwa kwa mfumo.

Anglais

it is a reflection of the lack of democracy and failure of the system.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

ben gharbia anatoa maoni kuhusu kutokuwepo kwa utekelezaji stahili wa sheria hii:

Anglais

ben gharbia comments on the decree's lack of proper implementation:

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

kutokuwepo kwa mwitikio wa kimataifa kwenye shambulio la garissa ukilinganisha na lile la charlie inaonesha jinsi dunia isivyojali wengine

Anglais

lack of international reaction to the #garrisaattack compared to #jesuischarlie shows how little the world cares about #africanlivesmatter — shekhar kapur (@shekharkapur) april 5, 2015

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

kutokuwepo kwa usawa wa kijamii kunajenga ufa mkubwa miongoni mwa wamalawi, jambo ambalo ni bomu linalosubiri kulipuka.

Anglais

social inequality is creating deep rifts among malawians, a ticking time bomb.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

katika kimya cha vyombo vya habari na kutokuwepo kwa haki ya kitaasisi, jambo pekee linalowezekana kufanyika ni kuandamana!

Anglais

in the absence of media and absence of institutional justice, the only thing one can do is protest!

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

hatuna furaha na watu 300 kufa kwenye mitaa ya jos kwenye vita vya kidini kwa sababu ya kutokuwepo hatua zinazochukuliwa kwa sababu tu hakuna kiongozi.

Anglais

we are not happy with a plane load of 300 people dying in the streets of jos in religious wars because of inaction from a missing leader.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

kutokuwepo uwazi na weledi katika mchakato wa kumchagua mgombea, mbali na kufahamika nani hasa watachukua nafasi zinazogombewa kabla hata ya uchaguzi katika taasisi hiyo.

Anglais

lack of transparency and professionalism when choosing candidates, besides a tendency to determine in advance who will take the institution's positions.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

miongoni mwa sababu zilizosababisha maandamano haya ni kutokuwepo kwa uasalama na hali ya vurugu , yaliyosababisha kupotea kwa maisha ya maelfu ya wa-venezuela.

Anglais

among the reasons behind these protests are insecurity and violence, which have claimed the lives of thousands of venezuelans.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

kuhusu kutokuwepo kwa sata, mwanaharakati brebner changala aliiomba mahakama kuu kulilazimisha baraza la mawaziri kuunda jopo la madaktari kuchunguza afya ya sata na kubaini ikiwa anafaa kuendelea na kazi kama mkuu wa nchi.

Anglais

in sata’s absence, activist brebner changala petitioned the high court to compel the cabinet to put together a medical board to examine sata and determine his suitability to continue as head of state.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

hapa ni muhtasari wa watu maarufu, makosa na kutokuwepo umakini katika habari zinazopewa nafasi katika vyombo vya habari vya dunia kuhusu afrika na katika vyombo vya habari vya afrika vyenyewe:

Anglais

here is a summary of the gems, errors and other inaccuracies in global media coverage of africa and in the african media itself:

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

kura yako ni nguvu ya kuamua ni nani ataiongoza naijeria kuondokana na ufukara, ukosefu wa ajira, kutokuwepo kwa usalama, na mgombea atakayeirudisha heshima ya kweli ya wa-naijeria.

Anglais

your vote is your power to decide who will lead nigeria out of poverty, unemployment, insecurity, and the candidate that will restore the true dignity of nigerians.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

kwa nyongeza, walibainisha kuwa, kutokuwepo kwa mpango mkakati wa muda mrefu wa namna ya kupambana na ugaidi nchini kenya unaweza kueleza sababu ya kuendelea kwa nguvu ya al-shabaab:

Anglais

additionally, they pointed out, a lack of a long-term strategic plan on how to combat terrorism by kenya may explain al-shabaab's continued potency:

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

denis cogneau, anayehusika kwa utafiti katika taasisi ya utafiti wa maendeleo (ird), anaeleza kuwa hali hii ya kutokuwepo usawa barani afrika ina asili ya kihistoria inayoelezeka :

Anglais

denis cogneau, responsible for research at the institute of research for development (ird), explains that these inequalities in africa have a well-defined historical origin :

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

uko mbali sana na nakukumbuka sana kwamba njia pekee ya kupunguza maumivu yangu ni kwa kukuandikia barua hii. wakati mwingine nadhani itakuwa nzuri kama tunaweza kuhifadhi hisia fulani katika "sanduku" kidogo... nitaelezea: sio mbaya sana kumkosa mtu kila wakati, lakini inaumiza sana wakati mwingine na kutokuwepo kunakuwa kusikoweza kuvumilika. hivyo ndivyo ninavyohisi sasa hivi, na hiyo ndiyo hisia ambayo ningependa kuweka kwenye sanduku salama au kwenye sanduku lenye harufu nzuri ambalo ningeweza kufungua haraka sana mara kwa mara

Anglais

you are so far away and i miss you so much that the only way to ease my pain is by writing you this letter. sometimes i think it would be great if we could store certain feelings in a little "box"... i´ll explain: it´s not so bad to miss someone every now and then, but it hurts too much sometimes and the absence becomes unbearable. that´s how i´m feeling right now, and that´s the feeling i would like to keep in a safe or in a little scented box that i could open really quickly from time to

Dernière mise à jour : 2022-03-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,800,525,960 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK