Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.
Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
hivyo itakuwa tumesema jambo la kuvuka mpaka.
we would have certainly spoken, then, an excessive transgression.
Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
kwa hiyo, ilitulazimu kuvuka daraja kwa miguu na kuendelea kutembea kwa miguu hadi tarle.
so we had to cross the bridge on foot and continue on to tarle.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
hatutamwita mwenginewe kabisa badala yake kuwa ni mungu. hivyo itakuwa tumesema jambo la kuvuka mpaka.
never shall we call upon any deity other than him: for that would be an outrageous thing to do.
Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
saidianeni kayika wema na wala msisaidiane katika dhambi na uadui wa kuvuka mipaka na mcheni mwenyezi mungu ili mfaulu.
cooperate
Dernière mise à jour : 2021-03-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
mitizamo ya watu kwenye maoni kuhusiana na hotuba ya rais obama ilionekana dhahiri kuvuka mipaka ya husuda, wivu na hali ya kusikitisha.
the sentiments apparent in the comments on pres obama’s speech went beyond envy, jealous and pity.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
chama kinachotawala nchini humo, democratic congress cha waziri mkuu pakalitha mosisili kilishinda kwa asilimia kubwa ya kura lakini kikishindwa kuvuka nusu ya kura.
the ruling democratic congress of prime minister pakalitha mosisili won most votes but fell short of the required majority.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
amalia alituma wito kwenye radio alhamisi asubuhi na watu wakaja kuendelea na wasiwasi kidogo kuhusu majibu ya bosi wangu kuhusu njia yangu ya kusimamia matatizo ya afya mitaa yetu na kuvuka mipaka ..
amalia send a radio call on thursday morning and people came progressively a little worried about the reaction of my boss regarding my way of managing our local health problems and crossing borders ..
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
vikwazo hivyo pia vinakuja katika kipindi ambapo shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu na idara ya serikali ya marekani ambazo kwa pamoja huweka kumbukumbu ya matukio ya ukiukwaji wa haki za binadamu na biashara haramu inayoendelea ya usafirishaji kuvuka mipaka ya kimataifa ya mti adimu unaojulikana kama rosewood kutoka misitu ya nchi hiyo ya madagaska.
they also come on the heel of reports by amnesty international and the us state department that document multiple human rights violations and ongoing illegal international trafficking of precious rosewood from madagascar rain forests.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
hadi kati ya machi 2020, ulaya imekuwa kitivo cha janga hili, na nchini nyingi za ulaya zimefunga mipaka yao kwa usafiri wa kimataifa - wasafiri wa mipaka na wasafirisha mizigo pekee ndio wameruhusiwa kuvuka.
as of mid-march 2020, europe is the epicenter of the epidemic, and many european countries have closed their borders to international travel - only border commuters and freight are allowed to cross.
Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
kila siku katika global voices wahariri na waandishi pamoja na watafsiri wetu wa kujitolea wanafanya kazi kuvuka mipaka ya nchi zao, saa za mahali waliko na kuvuka viambaza vya lugha kukuletea habari zinazotokana na sauti za wananchi wa kawaida ambazo kwa kawaida hazithaminiwi sana vyombo vikuu vya habari, kukuleta taarifa za uhuru wa kujieleza mtaoni na kuwaunga mkono wale wote wanaoungana na majadiliano haya ya mtandaoni.
every day at global voices our editors and volunteer authors and translators work across borders, time zones and language barriers to bring you important citizen-driven stories the mainstream media doesn't have the time or interest to cover, report on online freedom of expression and support others in joining the global conversation.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence:
helkopita tatu (mbili ka-27 na moja mi-8) ilitua kwenye uwanja wa ndege wa kacha na kuvuka mpaka na utaratibu uliopo wa kudhibiti forodha kwa mujibu wa maombo yaliyoweka mwanzoni.
three helicopters (two ka-27 and one mi-8) landed at the kacha airport and passed through the border and customs established procedures according to an application made preliminarily.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Référence: