Vous avez cherché: kuwatia (Swahili - Anglais)

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

kuwatia

Anglais

to put them

Dernière mise à jour : 2020-08-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

na hakika wao wamo katika shaka yenye kuwatia wasiwasi.

Anglais

and indeed they are, concerning the qur'an, in disquieting doubt.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

tunahitaji kuwatia moyo vijana wote ili kile kilichomo ndani mwao kitimie.

Anglais

we need to encourage the potential in all of our young people.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

serikali ya india ililazimishwa kuwatia nguvuni wahusika wa vitendo hivi vya kikatili.

Anglais

the india government has been forced to arrest the perpetrators.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kwa mujibu wa tovuti kadhaa za habari, vikosi vya ulinzi vilipambana na wanafunzi na kuwatia nguvuni baadhi yao.

Anglais

according to several news websites, security forces clashed with students and arrested some of them.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

na lau kuwa halikwisha tangulia neno la mola wako mlezi wangeli hukumiwa. na hakika wao wamo katika shaka yenye kuwatia wasiwasi.

Anglais

had it not been for a word that went forth before from thy lord, (their differences) would have been settled between them: but they remained in suspicious disquieting doubt thereon.

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

paulo na sila walitoka gerezani, wakaenda nyumbani kwa ludia. huko walionana na ndugu waumini na baada ya kuwatia moyo wakaondoka.

Anglais

and they went out of the prison, and entered into the house of lydia and when they had seen the brethren, they comforted them, and departed.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kifungo chake kimelinganisha na kifungo cha miaka 77 alichohukumiwa jangili wa faru mwezi julai, kilichowashangaza na kuwatia hasira watumiaji wengi wa mitandao ya twita.

Anglais

his conviction came on the heels of a 77-year sentence handed down to a rhino poacher in july, shocking and angering many twitter users.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

ni lazima ashike kikamilifu ujumbe ule wa kuaminika kama unavyofundishwa. ndivyo atakavyoweza kuwatia wengine moyo kwa mafundisho ya kweli na kuyafichua makosa ya wale wanaoyapinga mafundisho hayo.

Anglais

holding fast the faithful word as he hath been taught, that he may be able by sound doctrine both to exhort and to convince the gainsayers.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kama inavosemekana kuwa vyombo vya habari vya jamii vilihusika katika kuwatia ndani, vilihusika na kueneza habari mitaani kuhusu uvunjifu wa haki lakini havikuweza kubadili akili za mfumo wa sheria uliooza wa azerbaijan.

Anglais

supposedly social media had a role in putting them behind bars, a role in getting the word out on the street about the injustice but was unable to change the minds of the corrupt azerbaijan legal system.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

"ujasiri na imani kubwa hivyo katika umri huo mdogo hauna budi kutambuliwa na kutumika kama njia ya kuwatia moyo na kama kielelezo cha matumaini kwa vijana na wazee kila mahali ulimwenguni"

Anglais

"such bravery and belief at such a young age should be recognised and serve as an inspiration and as a beacon of hope to people young and old across the world"

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

waliwaimarisha waumini wa miji hiyo na kuwatia moyo wabaki imara katika imani. wakawaambia, "ni lazima sisi sote tupitie katika taabu nyingi ili tuingie katika ufalme wa mungu."

Anglais

confirming the souls of the disciples, and exhorting them to continue in the faith, and that we must through much tribulation enter into the kingdom of god.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

kufuatilia watu waliogusana na karantini ya lazima, kama sehemu ya majibu ya afya ya umma kwa mkurupuko wa covid-19, kunaweza kuwatia watu wasiwasi zaidi na maasumu kuhusu athari za maambukizo, karantini na unyanyapaa kuhusu familia na marafiki.

Anglais

mandatory contact tracing and quarantine, as a part of the public health responses to the covid-19 outbreak, can make people more anxious and guilty about the effects of the contagion, quarantine, and stigma on their families and friends.

Dernière mise à jour : 2020-08-25
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kwa maana, roho mliyempokea si roho mwenye kuwafanya ninyi watumwa na kuwatia tena hofu; sivyo, bali mmempokea roho mwenye kuwafanya ninyi watoto wa mungu, na kwa nguvu ya huyo roho, sisi tunaweza kumwita mungu, "aba," yaani "baba!"

Anglais

for ye have not received the spirit of bondage again to fear; but ye have received the spirit of adoption, whereby we cry, abba, father.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,761,975,221 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK