Vous avez cherché: linalostahili (Swahili - Anglais)

Traduction automatique

Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.

Swahili

English

Infos

Swahili

linalostahili

English

 

De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

utawala wa kabila unadai kwamba sensa ni zoezi muhimu na linalostahili kupewa kipaumbele ili kuhakikisha kwamba orodha ya wapiga kura inaandaliwa vyema kwa ajili ya uchaguzi ujao wa rais na wabunge unaotarajiwa kufanyika 2016.

Anglais

the kabila administration argues that a census is necessary prior to issuing the electoral lists for the presidential and parliamentary elections of 2016.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

pengine ni jambo linalostahili kutajwa kwamba huenda mgomo huu ni wa kwanza wa aina yake unaotumia kwa ufanisi na vizuri zaidi njia za kisasa za upashanaji habari ili kuvuta usikivu na uungwaji mkono, kuanzia na twita inayoendelea mpaka mmiminiko wa habari wa hapo kwa hapo.

Anglais

it is worth mentioning that this strike may be the first instance in which strikers use new media efficiently and effectively to draw all the attention needed to support their cause, from continuous twitter updates to live streaming.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

basi, ikiwa nimepatikana na kosa linalostahili adhabu ya kifo, siombi kusamehewa adhabu hiyo. lakini kama hakuna ukweli katika mashtaka waliyotoa watu hawa, hakuna awezaye kunikabidhi kwao. nakata rufani kwa kaisari!"

Anglais

for if i be an offender, or have committed any thing worthy of death, i refuse not to die: but if there be none of these things whereof these accuse me, no man may deliver me unto them. i appeal unto caesar.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

katika mukhtadha wa idadi na ukubwa wa miradi inayotekelezwa kwa kupitia mipango ya serikali ya nchi hiyo, afra raymond anaeleza kwa nini ushirika wa kiwango cha juu unaoonyeshwa hivi sasa na trinidad na tobago kwa china ni "suala nyeti linalostahili tafakuri ya kina."

Anglais

in the context of the number and scale of projects being undertaken via government to government arrangements, afra raymond explains why trinidad and tobago's current high-level state mission to china is "a critical issue to delve into."

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,794,767,767 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK