Vous avez cherché: linda maisha yetu (Swahili - Anglais)

Traduction automatique

Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.

Swahili

English

Infos

Swahili

linda maisha yetu

English

 

De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

kubariki maisha yetu

Anglais

days of our lives

Dernière mise à jour : 2023-11-27
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

nakupenda mpenzi kwa maisha yetu yote

Anglais

i love you darling for the rest of our lives

Dernière mise à jour : 2022-09-28
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kublogu ni sehemu ya maisha yetu ya kila siku.

Anglais

blogging is a part of our daily life.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kushikiliwa gerezani kulitufanya kujisikia kuwa maisha yetu hayakuathiriwa.

Anglais

our incarceration made us feel our lives pass by us.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

nikikumbuka peru, ukatili na hofu vilikuwa ni sehemu ya maisha yetu

Anglais

back then in peru, terror and fear was part of our daily lives.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

wakati wa maisha yetu, hutumia muda wa miaka 3 vyooni."

Anglais

in our life time, we would have spent 3 years in the toilet."

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

ninajua kwamba kuna wimbi la kidini linaloanza kuathiri kila sehemu ya maisha yetu.

Anglais

i know that there is a religious wave that is starting to have an impact on all areas of our life.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

na walisema: hakuna mengine ila maisha yetu haya ya duniani, wala sisi hatutafufuliwa.

Anglais

and they (sometimes) say: "there is nothing except our life on this earth, and never shall we be raised up again."

Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

"kuishi kambini siyo sawa na kuishi nyumbani, kuna mengi sana yanayohatarisha maisha yetu.

Anglais

"living in a camp is not like living at home, there are so many strangers around us.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

leo hii wanawake tunajikuta maisha yetu labda hayana thamani zaidi ya nembo zinazotumika kwenye viatu vya mazoezi

Anglais

#oscarpistorius today women find out that our life is worth less than a logo on a training shoe perhaps! — louise (@louisebro66) october 21, 2014

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

kwa nini serikali ilidhamiria kufanya maamuzi yatakayoathiri maisha yetu na ya watoto wetu ndani ya siku 13 tuu?

Anglais

why did (the government) intend to make a decision that affects our lives and our offsprings' lives, in only 13 days?

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

wengi wanarudi nyumbani na kuwaambia marafiki zao: ni bora kuujengea mustakabali wa maisha yetu tukiwa nchini mwetu.

Anglais

many go back and tell their friends: it is better if we build our future here, in our land.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

hoja yangu ni kwamba baadhi ya watu hawana welewa kuhusu nini kinaendelea ndani ya maisha yetu na bado wanafikiri wana haki ya kuamua na kuwa wakuu.

Anglais

my point is, some people have no knowledge about what goes on in our life yet they deem it their right to judge and be almighty.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

upendo umekamilika ndani yetu kusudi tuweze kuwa na ujasiri siku ile ya hukumu; kwani maisha yetu hapa duniani ni kama yale ya kristo.

Anglais

herein is our love made perfect, that we may have boldness in the day of judgment: because as he is, so are we in this world.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

...serikali ni sehemu muhimu katika maisha yetu ya kila siku, lakini kuitegemea sana ni tatizo kwa sababu inakuwa kama hatuwezi kutatua matatizo yetu binafsi.

Anglais

...our government is such a strong part in our everyday lives, but our dependency on them is problematic because it is as if we can't solve our own troubles.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

"waheshimiwa, nahisi kwamba safari hii itakuwa ya shida na hasara nyingi si kwa shehena na meli tu, bali pia kwa maisha yetu."

Anglais

and said unto them, sirs, i perceive that this voyage will be with hurt and much damage, not only of the lading and ship, but also of our lives.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

taftishi hii ilikuja katika kilele cha matukio ya khalid hasa kwa umaarufu wake kutokana na vipindi vyake vya tv vya wakati wa ramadhani, hivyo hicho kilichangia sana matokeo hayo na bila shaka nafasi ya dini katika maisha yetu.

Anglais

this survey came at the seasonal peak of khalid’s popularity after his ramadan tv shows this year contributed much to this result besides of course the role of religion in our lives.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

hali kadhalika ulimi ni kama moto. umejaa maovu chungu nzima, unayo nafasi yake katika miili yetu na hueneza ubaya katika nafsi zetu zote. huteketeza maisha yetu yote kwa moto utokao jehanamu kwenyewe.

Anglais

and the tongue is a fire, a world of iniquity: so is the tongue among our members, that it defileth the whole body, and setteth on fire the course of nature; and it is set on fire of hell.

Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Swahili

mkutano huo ukiwa na kauli mbiu, "mitandao ya kijamii - kutoka pembezoni mpaka kwenye vyombo vikuu", utakuwa ukichambua namna mitandao ya kijamii ilivyoathiri maeneo yote ya maisha yetu katka kipindi cha miaka 10 iliyopita.

Anglais

with the theme, “social media – from the margins to the mainstream”, the event will explore how social media have impacted on all aspects of our lives in the last ten years.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent

Swahili

chama cha bingu, ddp, kimeshinda uchaguzi wa rais kwa kura takriban 2,730,630 wakati mseto wa mcp/udf uliambulia kura 1,270,057, kura takriban 200, 000 pungufu ya zile za bingu . ujumbe mkuu unaotolewa na takwimu hizi ni kuwa bingu alichaguliwa na taifa zima, na unazua wazo kuwa pengine uongozi bora unaweza kutokomeza sarakani ya ukabila ambayo wengi wetu tulidhani ilikuwa bado inazengea kutafuna siasa na maisha yetu.

Anglais

bingu’s party, the dpp, won the presidential election with roughly 2,730,630 votes while the mcp/udf alliance scooped circa 1,270,057, almost 200,000 votes below half of bingu’s votes the strong message arising from these figures is that bingu was voted into power by the entire nation, raising postulates about whether good leadership styles could obliterate the tribal cancer that many of us thought was out to consume our political and everyday lives.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Référence: Anonyme

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
7,792,870,030 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK