Vous avez cherché: luninga (Swahili - Anglais)

Swahili

Traduction

luninga

Traduction

Anglais

Traduction
Traduction

Traduisez instantanément des textes, des documents et des voix avec Lara

Traduire maintenant

Contributions humaines

Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.

Ajouter une traduction

Swahili

Anglais

Infos

Swahili

uhalifu na ngono vinaoneshwa wazi kabisa kwenye michezo ya luninga na filamu na hivi vyote vinafonzwa na vijana na watoto pia.

Anglais

violence and sex are prevalent on many t.v. shows and movies and these are all absorbed by the youth and children as well.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

kama ulifanikiwa kuipata mechi yoyote kupitia luninga, bila shaka ulisikia sauti mbaya, kama ya kundi la wadudu wanaoleta kero.

Anglais

if you’ve caught any of the games on tv, you would have heard a continuous droning sound, like a perpetually embittered swarm of hornets.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

watu wengi nchini kote wameganda kwenye luninga zao wakati vipande vya habari vinavyoonesha tsunami lenye urefu wa zaidi ya mita 7 kwenda juu likisomba magari na majengo.

Anglais

people across the country are glued to their tv screens as scenes of a tsunami measuring more than 7 meters in height sweeping away cars and buildings flashes across the news.

Dernière mise à jour : 2024-01-29
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

alipokuwa shule ya sekondari ya juu (shule ya kumbukumbu ya william knibb) karibu kila jioni alikuwa akibarizi kwenye duka langu la luninga kabla ya kwenda nyumbani kwa hiyo nimekuwa nikangalia maendeleo yake kwa miaka kadhaa.

Anglais

when he was at high school (william knibb memorial high) almost every evening he used to hang out in my video store before going home so i have always watched his progress over the years.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Swahili

ukiwasha luninga yako na kipokea satelaiti nchini tunisia unaweza kutazama aljazeera, aljazeera idhaa ya kiingereza, aljazeera kwa watoto, aljazeera idhaa ya filamu za kuelimisha, aljazeera live, aljazeera michezo siku nzima.

Anglais

you switch on your tv and satellite receiver in tunisia and you can watch aljazeera, aljazeera english, aljazeera children, aljazeera documentary, aljazeera live, aljazeera sport all day.

Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :

Obtenez une traduction de meilleure qualité grâce aux
8,899,378,700 contributions humaines

Les utilisateurs demandent maintenant de l'aide :



Nous utilisons des cookies pour améliorer votre expérience utilisateur sur notre site. En poursuivant votre navigation, vous déclarez accepter leur utilisation. En savoir plus. OK