Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.
Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
baadaye, walibebwa kwenye machela hadi kwenye magari upande mwingine wa daraja.
afterwards, they were carried by stretchers to the car at the other side of the bridge.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
kwani hatukuwa na machela nyingi za kutosha, ilitulazimu kurudisha machela kule hospitali ili tubebe wagonjwa wengine.
because we didn't have many available stretchers, we had to take that stretcher back to the hospital and carry another patient.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
doa la damu kwenye machela ya gari la wagonjwa linasogeea karibu ya koti langu, na mganga ananionya kwamba koti langu linaweza kuchafuka.
the stain of blood on the ambulance stretcher pools next to my coat, the medic warning me my coat may be dirtied.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
nimeambiwa kuwa sehemu za kasri (ikulu) zimeanguka… unibank hapa mtaa wa capois imeporomoka watu wanawaleta watu kwa machela
i'm told that parts of the palace have collapsed..the unibank here on rue capois has collapsed people are bringing people by on stretchers
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :