Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.
De: Traduction automatique
Suggérer une meilleure traduction
Qualité :
Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
hawadanganyiki kwa maneno matupu tena.
empty words don't fool them anymore.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
maana utawala wa mungu si shauri la maneno matupu, bali ni nguvu.
for the kingdom of god is not in word, but in power.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
haya si maneno matupu, yanayotoka kwa mtu mwenye historia ndefu na inayoogofya:
these are no mere words, coming from one with such intimidating rich background:
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
au ndio mnampa khabari ya yale asiyo yajua katika ardhi; au ni maneno matupu?
are you trying to tell god about something that does not exist on the earth? do you only mention empty names?
Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
kama kuna maneno matupu ambayo yanatumika katika hali hii ni ile ya "historia kujirudia yenyewe."
if there is a cliché that applies in this situation is that of “history repeats itself.”
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent
sema watajeni. au ndio mnampa khabari ya yale asiyo yajua katika ardhi; au ni maneno matupu?
or are you informing allah of something the existence of which he does not even know?" or do people arbitrarily utter empty words?
Dernière mise à jour : 2014-07-03
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent
maneno matupu ya mwanasayansi wazimu yanaweza kuonekana kama hadithi, lakini mabomu yaliyoanguka hiroshima na nagasaki hayakutengenezwa na majeshi ovu.
the mad scientist cliche may seem like a myth, but the bombs that fell on hiroshima and nagasaki were not created by evil militaries.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
msikubali kudanganywa na mtu kwa maneno matupu; maana, kwa sababu ya mambo kama hayo ghadhabu ya mungu huwajia wote wasiomtii.
let no man deceive you with vain words: for because of these things cometh the wrath of god upon the children of disobedience.
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
licha ya ukweli kuhusu madai ya serikali, maneno matupu na malalamiko ya viongozi kuhusu uwezo wa nchi ndiyo yaliyosababisha hali ya mambo iliyomo mjini juba.
whatever the truth in the recent government rhetoric, the rhyme and whine over state power from the leaders carry the blame for the current state of affairs in juba.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
basi, nimewatuma ndugu zetu hao, ili fahari yetu juu yenu ionekane kwamba si maneno matupu, na kwamba mko tayari kabisa na msaada wenu kama nilivyosema.
yet have i sent the brethren, lest our boasting of you should be in vain in this behalf; that, as i said, ye may be ready:
Dernière mise à jour : 2012-05-06
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
kwa hakika, mambo haya hayapaswi kuwa na maana yoyote, ni maneno matupu kwa chama cha pap ambacho kinawaacha wakiwa hawana chochote cha kupinga itakuwa ni njia muafaka sana kwa wengine ambao bado wanaweza kushawishika kukiunga mkono chama cha pap.
in fact, these do not even need to say anything—a mere talk with the pap that leaves them with nothing to criticize will be effective enough for others who can still be convinced to support the pap.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
hiki ndicho kinachotokea pale ambapo raia na taasisi za kiraia zinapokwa dhaifu mno, zinazoogopa sana, na zenye “maneno matupu,” katika kulinda uhuru wao kutoka kwa wanyakuaji wa madaraka wanaoitwa viongozi.
this is what happens when civilian and civil institutions are too weak, too cowardly, too much "talk-talk-only," to defend their own freedom from usurping so-called leaders.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent
ni vigumu kuelewa kwamba kwa yote yaliyosemwa, kwa maneno matupu tuliyoweza kuyatamka kwa jina la 'mshikamano na wahanga', wengi wetu tulio binadamu kama wengine tunatengwa na kelele hizi hewa za mshikamano wa kile kinachoitwa 'dunia'.
it is a hard thing to realize that for all that was said, for all the progressive rhetoric we have managed to create as a seemingly united human voice, most of us members of this curious species are still excluded from the dominant concerns of the "world".
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 2
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent