Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
sabuni mango, kwa sabau ya hali yake ya kutumika tena, inaweza kuweka bakteria zilizopatikana kutoka kwa utumiaji wa hapo awali.
solid soap, because of its reusable nature, may hold bacteria acquired from previous uses.
idadi chache ya utafiti ambao umeshughulikia usambazaji wa bakteria kutoka kwa sabuni mango iliyochafuliwa umehitimisha kuwa usambazaji si rahisi kutokea kwa sababu bakteria huoshwa na kuondolewa kupitia fomu.
a small number of studies which have looked at the bacterial transfer from contaminated solid soap have concluded transfer is unlikely as the bacteria are rinsed off with the foam.