Apprendre à traduire à partir d'exemples de traductions humaines.
Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
arnold schwarzenegger akiwa na dmitriy medvedev wakiwa wamebadilishwa vichwa.
arnold schwarzenegger and dmitriy medvedev with swapped heads.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
medvedev, au timu yake ya mawasiliano, haijajibu chochote kwa lolote lililoandikwa.
medvedev, or his press team, has yet to respond to any of them.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
(tazama ukurasa wa waziri mkuu dmitri medvedev kuona mfano hai.)
(look at prime minister dmitri medvedev's page for a clear example.)
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
ungeweza kumtegemea waziri mkuu dmitry medvedev kuweka mambo katika hali ya utulivu na angalau kutoa maelezo.
you can depend of pm dmitry medvedev to provide a sense of stability and narrative.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
medvedev amempata mtu ambaye ana lawama zaidi kuliko alivyo yeye, na anaendelea kujaribu kuruka ruka kwenye maiti za kisiasa
medvedev found someone who was even more pitiful than his is, and keeps trying to jump on the political corpse.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
maelezo haya kuhusu mamlaka ya yanukovich yaliwafanya baadhi ya watumiaji wa mtandao wa twita kutoa maoni kuhusu msimamo huo wa medvedev.
this (valid) description of yanukovich's authority led some twitter users to comment on medvedev's own flagging stature.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
waziri mkuu medvedev, ambaye amekuwa kimya kuhusu hali ya mambo nchini ukraine kama mkuu wake wa kazi rais putin, hatimaye alichagua mahali pasipotarajiwa kusemea alipofikia uamuzi wa kutoa tamko.
prime minister medvedev, who has been as silent on the issue of ukraine and its territorial integrity as his boss president putin, chose an odd venue when he finally decided to make his statement.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
picha isiyojulikana imewekwa na nani mtandaoni.wakati huo huo, medvedev alimaliza bandiko lake kwenye mtandao wa twita kwa kuiita ukraine "jirani masikini":
anonymous image found online.meanwhile, medvedev finished his facebook post by calling ukraine a "destitute relative":
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent
marafiki, niungeni mkono!" alitwiti mikhail dvorkovich, mfanyabiahsra wa kirusi na kaka wa mshauri wa medvedev, ikiwa ni majibu kwa tishio la marekani kuweka vikwazo dhidi ya maafisa wa urusi.
friends, join me! #stopusa" tweeted mikhail dvorkovich, a russian businessman and brother to a medvedev adviser, as a response to threat of american sanctions against russian officials.
Dernière mise à jour : 2016-02-24
Fréquence d'utilisation : 1
Qualité :
Avertissement : un formatage HTML invisible est présent