Réalisées par des traducteurs professionnels, des entreprises, des pages web ou traductions disponibles gratuitement.
mnara wa simu
minara ya simu
Dernière mise à jour : 2024-06-10
Fréquence d'utilisation : 2
Qualité :
najaribu kumpigia simu au kumuandikia ujumbe wa simu ya mkononi dada yangu bila mafanikio"
i am trying to call my sister or text her but in vain"
watu huwaita marafiki ambao wana kidogo cha kutoa, ghairi ya sauti iliyo upande wa pili wa simu.
at best people call their friends, who have little to offer, other than a voice on the other end of the line.
kuna uvumi ulioenezwa jana nchini msumbiji kwa njia ya mdomo, ujumbe mfupi wa maneno wa simu na hata kupitia twita kuhusu mgomo.
yesterday rumors spread in mozambique about a general strike via word of mouth, sms, and even twitter.
huduma nyingine ambazo serikali ya saudi arabia inatishia kuzizuia ni pamoja na skype na hduma ya kutumiana ujumbe wa simu za mkono iitwayo whatsapp.
other services the saudi authorities are threatening to block include skype and mobile messaging service whatsapp.
majaribio ya kwanza ya kampeni hii inayotumia ujumbe wa simu za viganjani ulisaidia kuongeza wastani mara tatu zaidi ya watu wanaopiga simu kwenye huduma ya simu ya ukimwi mjini johannersburg.
early testing of this text messaging campaign helped triple the average daily call volume to the national aids helpline in johannesburg.
mnamo disemba 18, 2008, mamilioni ya wateja wa simu za viganjani wa thailand walipokea ujumbe huu kutoka kwa waziri mkuu mpya abhisit vejjajiva:
on december 18, 2008, millions of thai mobile phone subscribers got this text message from the newly installed prime minister abhisit vejjajiva:
mtumiaji wa lj offnet alilalamika kwamba moja ya sababu za kukatika kwa mtandao wa simu za mkononi ilikuwa ni utaratibu wa kimangimeza ambo ulihitaji usimikaji wa kituo kingine cha ziada cha kurushia matangazo hata katika wakati wa wa hali mbaya zaidi.
lj user offnet complained that one of the reasons for the cell phone network blackout was a bureaucratic routine that required mounting an extra re-translator cell stations even in extreme situations.
'i paid a bribe kenya ' pia ilizindua namna ya kutumia ujumbe mfupi wa simu ili kuwawezesha wakenya zaidi ya milioni elfu ishirini na tano kuwasilisha ripoti zao.
the initiative launched the ‘i paid a bribe kenya’ integrated sms system in may this year to allow over 25 million kenyans with access to a mobile phone to report and share their bribe experiences on the site:
lengo la somalia speaks ni kukusanya sauti ambazo hazisikiki kutokea ndani ya eneo vile vile kutokea kwa wasomali walio ughaibuni kwa kuuliza kupitia ujumbe mfupi wa simu za mkononi: kwa jinsi gani mgogoro wa somalia umekuathiri?
the goal of somalia speaks is to aggregate unheard voices from inside the region as well as from the somalia diaspora by asking via text message: how has the somalia conflict affected your life?